DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,912
Mpenzi umeniangusha yaani mstari mmoja wa huyo kijana unaujibu kwa paragraphs. Anyway inaonekana kama povuHiii tujazane ujinga au ndiyo uhalisia uliopo? Nimekwambia tunashuhudia ndoa nyingi ambazo wanawake wana tabia hizo na ndoa zinadumu vizuri tu hii dunia imeshaharibika yaani
Hivyo msidhani hizi pumba mnazoongea humu eti watu wote kabisa wanazifanyia kazi hakuna kitu kama hicho wanaume waovu na wanawake waovu walikuwepo wapo na wataendelea kuwepo hadi mwisho wa dunia
Hiyo dunia mnayoitaka ninyi eti wanaume muwe mashetani mfanye tu maovu mnavyojisikia ila wanawake wawe malaika watulie tu wawe wapole haijawahi kuwepo haipo na haitakuja kuwepo
Na huo ndiyo ukweli mchungu wewe wanawake wasioolewa wanakuuma nini tafuta mmoja mwenye tabia nzuri oa tulia kama unaona hawapo endelea kupiga na kusepa au kuzalisha na kuacha ukifa utaenda kujuana na Mungu vizuri huko!
EdelynAisee, ID yako ya zamani pls!!
We endelea kujijaza ujinga ukifika 50 hujaolewa ndo utajua nini wanaume tunaamanishaHiii tujazane ujinga au ndiyo uhalisia uliopo? Nimekwambia tunashuhudia ndoa nyingi ambazo wanawake wana tabia hizo na ndoa zinadumu vizuri tu hii dunia imeshaharibika yaani
Hivyo msidhani hizi pumba mnazoongea humu eti watu wote kabisa wanazifanyia kazi hakuna kitu kama hicho wanaume waovu na wanawake waovu walikuwepo wapo na wataendelea kuwepo hadi mwisho wa dunia
Hiyo dunia mnayoitaka ninyi eti wanaume muwe mashetani mfanye tu maovu mnavyojisikia ila wanawake wawe malaika watulie tu wawe wapole haijawahi kuwepo haipo na haitakuja kuwepo
Na huo ndiyo ukweli mchungu wewe wanawake wasioolewa wanakuuma nini tafuta mmoja mwenye tabia nzuri oa tulia kama unaona hawapo endelea kupiga na kusepa au kuzalisha na kuacha ukifa utaenda kujuana na Mungu vizuri huko!
Oky my dear sister ila i am not one of themNdiyo siyo wote ila ni wengi
Nini hujaelewa hapo binti wewe?Eti enh??
Mpeleke muhimbili mkuu, naona huyu binti ako na tatizo kidogoMy wife Marianah is suffering from a very dangerous and fast killing disease called FAOGE i.e Fallacy Of Generalization.
hilo tatizo linatibiwa na mahaba ya nyumbani tu mkuu. Haina haja ya kumpeleka bidada hospitaliMpeleke muhimbili mkuu, naona huyu binti ako na tatizo kidogo
Aisee, ID yako ya zamani pls!!
I dont see it as a naked truth but I respect ya opinion tho....
Wewe mtanzania halafu unachukulia reference lifestlye ya mfano Japan. Ina make sense kweliiiiiiii ?
Point hapa ni kwamba Ukii tune akili yako ku focus wanaosaliti wake zao basi siku zote utaishia kuamini wanaume wote wanasaliti wanawake walioanza nao from the scratch and vice versa
Hivi ukisubiri sex mpaka ndoa ndio unaolewa eeh?Sababu wamegoma kusubiri sex mpaka Ndoa
Mpenzi umeniangusha yaani mstari mmoja wa huyo kijana unaujibu kwa paragraphs. Anyway inaonekana kama povu
Kwa taarifa yako nina miaka 42 na nina mume na watoto sasa sijui unadhani mimi ni kama hivyo videmu vyako unavyohangaika navyoWe endelea kujijaza ujinga ukifika 50 hujaolewa ndo utajua nini wanaume tunaamanisha
Oky my dear sister ila i am not one of them
Kwahiyo wanawake wote wataolewa na hao wanaume wachache wanaojielewa?Nini hujaelewa hapo binti wewe?