Single ladies: Kwanini uko benchi mpaka leo?

Hiii tujazane ujinga au ndiyo uhalisia uliopo? Nimekwambia tunashuhudia ndoa nyingi ambazo wanawake wana tabia hizo na ndoa zinadumu vizuri tu hii dunia imeshaharibika yaani

Hivyo msidhani hizi pumba mnazoongea humu eti watu wote kabisa wanazifanyia kazi hakuna kitu kama hicho wanaume waovu na wanawake waovu walikuwepo wapo na wataendelea kuwepo hadi mwisho wa dunia

Hiyo dunia mnayoitaka ninyi eti wanaume muwe mashetani mfanye tu maovu mnavyojisikia ila wanawake wawe malaika watulie tu wawe wapole haijawahi kuwepo haipo na haitakuja kuwepo

Na huo ndiyo ukweli mchungu wewe wanawake wasioolewa wanakuuma nini tafuta mmoja mwenye tabia nzuri oa tulia kama unaona hawapo endelea kupiga na kusepa au kuzalisha na kuacha ukifa utaenda kujuana na Mungu vizuri huko!
Wee jazaneni huu ujinga muone matokeo yake.
 
Kuna mmoja alikuwa ananiambia mabwana zake ni watu wazito wazito Serikalini!
Baada ya kama mwaka ivi alinitamkia kabisa kwamba anataka na anatamani azae nami!
Nikamwambia vipi vigogo wako hawawezi kutungisha mimba?
 
Marianah ni shemeji yako kwangu mkuu ila ni mbishi hatari.
 
Hasipokuelewa bora ajitoe JF
 
Kumbe tunaongelea uhalisia uliopo?? Sasa mbona wapo wanawake wengi tu wenye tabia mbovu na wanaolewa??

Halafu tusiongelee bongo tu tuvuke boda maana dunia haijashia bongo tu duniani hapa wapo wanawake wanaolewa wakiwa na miaka 40 hadi 60 unabisha
Wewe mtanzania halafu unachukulia reference lifestlye ya mfano Japan. Ina make sense kweliiiiiiii ?
 
Sasa hao wanaoanza na ninyi from zero to hero si ndiyo hao mkija pata hela mnawasaliti??
Point hapa ni kwamba Ukii tune akili yako ku focus wanaosaliti wake zao basi siku zote utaishia kuamini wanaume wote wanasaliti wanawake walioanza nao from the scratch and vice versa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…