single ladies!amri kumi za mwanamke

single ladies!amri kumi za mwanamke

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
15,347
Reaction score
11,628
1. Don't be in a hurry to move out of your parents house.
2. Don't wait for a man before you start living.
3. Stay away from alcohol.
4. Don't entertain a wrong number call,especially at night.
5. Develop a healthy eating habit.
6. Dress well: First Impression counts
7. Don't use sex as proof of love.
8. Don't marry for the money.
9. Add value to yourself - get a career.
10. Beauty is not everything. If it is all you have, you'll lose your place to someone more beautiful, more matured and competent than you..!
 
This message has been
deleted by Ph-25
 
Last edited by a moderator:

Sasa unaonekana kukua kidogo

Sisemi haya kwakuwa umesema
Kwasababu najua kuna utofauti kati ya kusema na kutenda
Ila kwakuwa nimeona umuhimu wako wa kuyaona haya kuwa ya muhimu na kuyaleta hapa
Kutenda jambo lolote huanzia pale mtu anapoliona jambo hilo kuwa la muhimu
Hivyo hata kama huyatendi haya lakini kitendo cha kuyaona kuwa yanamfaa mwanamke ni hatua muhimu

Kamaumeanza kuyatenda unastahili kujipongeza kwa hilo!
 
Ya kweli kabisa hayo dada Smile tena kama hayo ya no 1,7 na 8 ni ya msingi sana,please masingleladies zingatieni hayo.
 
Last edited by a moderator:
Sasa unaonekana kukua kidogo

Sisemi haya kwakuwa umesema
Kwasababu najua kuna utofauti kati ya kusema na kutenda
Ila kwakuwa nimeona umuhimu wako wa kuyaona haya kuwa ya muhimu na kuyaleta hapa
Kutenda jambo lolote huanzia pale mtu anapoliona jambo hilo kuwa la muhimu
Hivyo hata kama huyatendi haya lakini kitendo cha kuyaona kuwa yanamfaa mwanamke ni hatua muhimu

Kamaumeanza kuyatenda unastahili kujipongeza kwa hilo!
nipo hivi hivi siku zote kaka
 
nipo hivi hivi siku zote kaka

Sijakuelewa

Hivihivi kama zamani bila kubaddilika?
Au hivihivi kwa maana ya ujumbe unavysema?
Au hivihivi kwa maana ya hivihivi?
 
Namba 1 & 7 Smile ilishakushindaga siku nyingi.
 
Last edited by a moderator:
Sasa unaonekana kukua kidogo

Sisemi haya kwakuwa umesema
Kwasababu najua kuna utofauti kati ya kusema na kutenda
Ila kwakuwa nimeona umuhimu wako wa kuyaona haya kuwa ya muhimu na kuyaleta hapa
Kutenda jambo lolote huanzia pale mtu anapoliona jambo hilo kuwa la muhimu
Hivyo hata kama huyatendi haya lakini kitendo cha kuyaona kuwa yanamfaa mwanamke ni hatua muhimu

Kamaumeanza kuyatenda unastahili kujipongeza kwa hilo!
Eiyer bwana mpaka uje upate mke wakuoa utakwenda tuition nyingi sana haahahahahaha
 
Last edited by a moderator:
Sijakuelewa

Hivihivi kama zamani bila kubaddilika?
Au hivihivi kwa maana ya ujumbe unavysema?
Au hivihivi kwa maana ya hivihivi?
hivi hivi kwa maana ya hivi hivi
 
Sijakuelewa

Hivihivi kama zamani bila kubaddilika?
Au hivihivi kwa maana ya ujumbe unavysema?
Au hivihivi kwa maana ya hivihivi?

Una maswali aisee......
Smile number 2 ulikuwa unamaanisha nini.........
 
Last edited by a moderator:
Smile, most of women talk what they don't do. it seems u want women to stand alone without becoming dependents to men as most of them think that they were born to depend on men. If all women have the same thoughts as you are then we will see the strength of women.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom