single ladies!amri kumi za mwanamke

single ladies!amri kumi za mwanamke

Halafu ninampango wa kwenda kwenu kutoa mahari kabisa ili mziki wa maswali uuone...lol!


Hujambo lakini?

mi mwenzio sipendi maswali..,kwa hiyo hakuna haja ya tuition tena ndio upate mke lol!!!!!

Sijambo....leo uje kule basi......
 
NO3: The more you drink the more you pay govt taxes.
KUNYWA SAANA LIPA KODI SAANA KWA MAENDELEO YA TAIFA LAKO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Smile, most of women talk what they don't do. it seems u want women to stand alone without becoming dependents to men as most of them think that they were born to depend on men. If all women have the same thoughts as you are then we will see the strength of women.
hiyo ya kutegemea wanaume ilikuwa zamani ...kizazi cha sasa watu ni wabinafsi sana...wanaume wenyewe wanatutegemea!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom