SINGLE BABAS MUPOOO???

SINGLE BABAS MUPOOO???

Acheni hizo jamani, mtoto alitaka kuanguka ikabidi atafute balance
 
Wazazi wa aina hii nao huwa wamepinda, sasa inakuwaje uwe hivi mbele ya watoto?
Watoto hapo wanajifunza nini kutoka kwa mzazi?
Heri angevaa nguo ambayo haioneshi kuvimba kwa hayo maungo!

Ndio maana asilimia kubwa ya watoto wa siku hizi hawana adabu katika jamii sababu ya malezi mabovu toka kwa wazazi/walezi.[emoji85]
 
kwani tunaaminishwaje ni baba mzazi/mlezi/jirani au 'anko' maana kwa kawaida mzazi mwenye uchungu na mwanaye hawezi kujianika hivo mbele ya wanaye wa kuwazaa achilia mbali ku-copy & paste utandawazi. ni aina ya wazi kabisa ya udhalilishaji wa kijinsia, uhaini wa haki za watoto. kama sio kukomoana (lengo la mpiga picha) basi kuna haja ya kudhibi usiri wa vyombo vyetu hasa simu na kompyuta zetu. mimi kama mzazi sijaifurahia hata kidogo. sijui mtoto akikua akaikuta hiyo picha atajisikiaje. napata kuamini tukio hili limepangwa na wahusika mubashara. macho ya baba na binti mkubwa yanamtazama mpiga picha (kwanini asikosoe kabla hajawapiga), umbali wa target na camera ni wa karibu-hakuna zoom tusingizie ni mpitanjia ameiotea; nalazimika kuamini mpiga picha ni mama wa hawa watoto. hii familia imejiridhisha sisi watazamaji tuna haki ya kuona hiki. sijui chumbani kunakaliwaje! akili za wazazi wa karne hii; Mungu aendelee kutulinda tu!
 
mkuuu umeongea kwa uchungu sana, namalizia round ya mwisho nisije andika madudu, mimi ni mzazi na nina mtoto wa kike, nishaenda nae beach ila iwezi fanya huo ujinga
 
Wazazi wa aina hii nao huwa wamepinda, sasa inakuwaje uwe hivi mbele ya watoto?
Watoto hapo wanajifunza nini kutoka kwa mzazi?
Heri angevaa nguo ambayo haioneshi kuvimba kwa hayo maungo!

Ndio maana asilimia kubwa ya watoto wa siku hizi hawana adabu katika jamii sababu ya malezi mabovu toka kwa wazazi/walezi.[emoji85]
sio kuvimba, miss chagga kasema amejaaliwa
 
Back
Top Bottom