SINGLE BABAS MUPOOO???

SINGLE BABAS MUPOOO???

Huyo mtt hajajua ameshika nn lkn




Mm nkienda kuogelea na mwanangu wa kiume navua nguo wala hana habari namm
najua hajui na hata baba hakushtuka kwamba kashikwa huko .. mtoto anaweza shika popote na wala asione tatizo .. tatizo ni sisi watazamaji
 
Kwa sasa mtoto ataona huo mkuyati ni egemeo tu kama vile bega au mkono. Shida itaanze badae kidogo akianza kua curious hilo egemeo lina kazi gani. Wazazi lazima wawe makini sana na picha wanazopiga na watoto wao, zinaweza zisiwe na madhara kwa sasa lakini badae ikawa shida.
 
Back
Top Bottom