Rahim Jr
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 561
- 282
Siku nikiwa na hela zangu nitalala huko wiki nzima
kwa wewe sio team Monduli kachukue mahela ya kumpigia debe den unaruka zako Serengeti unaenda kula bata batani
Siku nikiwa na hela zangu nitalala huko wiki nzima
Ipo ndani ya hifadhi kabisa
Four Season Serengeti usd 11200 per night presidential suite,na iko booked mwaka mzima.Yaani kina watu wameshalipia kulala mwaka 2017
Mkuu, hii ni ya Mmarekani, Mtoto wa Co-Owner wa mnada wa Wall Market wa New York uitwao Dow Jones.
Jamaa anaitwa Paul Tudor JONES. Ila kuna vi-scandal kadhaa kama kawaida ya matajiri kinamzunguka kuhusu hii Grumet Reserve yake inayomiliki hizi Lodge za Serengeti, South Africa nk.
Bei zao zinakwenda hadi US $ 10,000 per night.
Paul Tudor Jones - Wikipedia, the free encyclopedia
Mmilki ni Paul Tudor Jones Mmarekani kama alivyoonyesha Sikonge ila Singita wao ndio kama ulivyosema issue related na management, zamani iliitwa VIP hiyo lodge na iliwahi ingia mgogoro na kamati flani ya bunge ilikwenda kutembea bila apointment wakazuiwa wakairushia makombora bungeni lakini wakashindwa.Si lazima kuweka siasa katika kila kitu .
Lodge inamilikiwa na Makaburu.
Nenda katika tovuti yao, ukajisomee:
Singita.com.
Four Season Serengeti usd 11200 per night presidential suite,na iko booked mwaka mzima.Yaani kina watu wameshalipia kulala mwaka 2017
Ndio maana ufisadi unashika hatamu kila kona hapa Tanganyika. Amini nakuambia wanaotembelea sehemu kama hizo ni viongozi wetu zaidi kuliko wazungu.
Hoteli nzuri sana inavutia!!
Nasikia ni ya mukulu wa kaya hii hoteli.
Katika biashara nyingi za wenzetu, kuna chance kuwa wana investors wa kila aina na wa raia tofauti. Pia, wanaweza kukodi management team za nchi yotote kuendesha hoteli.
Binafsi, sijali.
Nasikia ni ya mukulu wa kaya hii hoteli.