Singita Sasakwa Lodge, Serengeti.

Singita Sasakwa Lodge, Serengeti.

Tokyo40

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
2,065
Reaction score
1,926
ImageUploadedByJamiiForums1432398360.927562.jpg
 
Hii lodge safi sana, top ten duniani.

Ila, kwa Mtanzania wa kawaida, atashindwa bei.

Mkaburu anataka $1500 per person, tena offseason.

Lakini, full luxury hapo.
 
Ndio maana ufisadi unashika hatamu kila kona hapa Tanganyika. Amini nakuambia wanaotembelea sehemu kama hizo ni viongozi wetu zaidi kuliko wazungu.
 
Ndio maana ufisadi unashika hatamu kila kona hapa Tanganyika. Amini nakuambia wanaotembelea sehemu kama hizo ni viongozi wetu zaidi kuliko wazungu.

Yaani unamaanisha Wazungu ndiyo watembelee zaidi kuliko sisi wazawa.
 
Ndio maana ufisadi unashika hatamu kila kona hapa Tanganyika. Amini nakuambia wanaotembelea sehemu kama hizo ni viongozi wetu zaidi kuliko wazungu.

Sikuamini.

Kwanza, Sio kila mwenye pesa ni fisadi.

Na siyo kweli wanaotembea hapo ni viongozi peke yao. Labda utupe kithibitisho.

Safiri, utaona mengi.
 
Mkuu, hii ni ya Mmarekani, Mtoto wa Co-Owner wa mnada wa Wall Market wa New York uitwao Dow Jones.

Jamaa anaitwa Paul Tudor JONES. Ila kuna vi-scandal kadhaa kama kawaida ya matajiri kinamzunguka kuhusu hii Grumet Reserve yake inayomiliki hizi Lodge za Serengeti, South Africa nk.

Bei zao zinakwenda hadi US $ 10,000 per night.
Paul Tudor Jones - Wikipedia, the free encyclopedia

Hii lodge safi sana, top ten duniani.

Ila, kwa Mtanzania wa kawaida, atashindwa bei.

Mkaburu anataka $1500 per person, tena offseason.

Lakini, full luxury hapo.
 
Nataka kuanzisha uzi kuhusu zile Four Seasons Hotels in the World. Hii moja wapo.

Kabla ya kuanzisha uzi ninakushauri usome kidogo wikipedia na vyanzo vingine vya habari mtandaoni mkuu..vitakusaidia.
 
Mkuu, hii ni ya Mmarekani, Mtoto wa Co-Owner wa mnada wa Wall Market wa New York uitwao Dow Jones.

Jamaa anaitwa Paul Tudor JONES. Ila kuna vi-scandal kadhaa kama kawaida ya matajiri kinamzunguka kuhusu hii Grumet Reserve yake inayomiliki hizi Lodge za Serengeti, South Africa nk.

Bei zao zinakwenda hadi US $ 10,000 per night.
Paul Tudor Jones - Wikipedia, the free encyclopedia

Katika biashara nyingi za wenzetu, kuna chance kuwa wana investors wa kila aina na wa raia tofauti. Pia, wanaweza kukodi management team za nchi yotote kuendesha hoteli.

Binafsi, sijali. Nataka kwenda kupumzika katika lodge, siyo kujua historia ya mwenye lodge. Kama nikienda Hilton, Westin au Four Seasons, sihitaji kujua mmiliki vile vile.

Huenda unayomsema ndiyo mmiliki, lakini katika tovuti yao, inasema kuwa management ni ya kutoka Afrika Kusini na hata bei pia zimewekwa katika Rand.
Thus, my conclusion that it's a South African operated.

Nimeona bei zao na bei ya chini ndiyo hiyo $1500. Na uko sahihi, bei hupanda sana kutegemea package na lodge gani umechagua na watu wangapi watakodisha.

Source:singita.com
 
Four Season Serengeti usd 11200 per night presidential suite,na iko booked mwaka mzima.Yaani kina watu wameshalipia kulala mwaka 2017
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom