Singita Hotel-most expensive

images (1).jpg
full shangwe, kiota kizima
 
Hapo blue, mtu akisoma ataelewa ni kama uwanja umejengwa na tayari serikali imekabidhiwa, bado ipo kwenye proposal na hakuna ambacho kimekuwa implemented mpaka sasa, naona sasa hivi kuna hotel nyingine nayo inakuja kwa kasi inaitwa Bilila Kempesky Hotel

Hii ni ya baba mwanasha a.k.a. JK
 
This information is 100% true...

Vizuri sana Ngongo... Arusha, my home, is BEST EVER PLACE I CAN LIVE.....

Arusha "The Richland" of Resources & Talented people....


Mkuu Amavubi Grumeti Reserves inamilikiwa na Bwana Paul Tudor Jones bilionea wa kiAmerika.Singita ni waendeshaji wa hizo Lodges & Camps.Bwana Jones anamilikia ekari 350,000 ambazo amejenga lodges & Camps zake na wanyama wa aina mbali mbali.

Kupitia uwekezaji wake mbuga ya Serengeti imekuwa ikipata wageni wa hali ya juu sana eg Melinda Gate,wafalme na mamilionea wa kiarabu.Pia amejitolea kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa wilaya ya Serengeti na kuukabidhi serekali ya Tanzania.
 
Last edited by a moderator:
hana chanzo lakini..............


Hilo Jarida la Travel & leisure ingia Google utapata habari hiyo.... Pia habari za uwanja wa ndege Serengeti jamaa ndio ana finance around $ 300 million ndio anatoa... Tudor tajiri kweli....
Find his Biography, google ....
 
hana chanzo lakini..............

No.... see what Ngongo wrote...

Hilo Jarida la Travel & leisure ingia Google utapata habari hiyo.... Pia habari za uwanja wa ndege Serengeti jamaa ndio ana finance around $ 300 million ndio anatoa... Tudor tajiri kweli....
Find his Biography, google ....

Wakuu Amavubi & MR.PRESIDENT ,Hawa jamaa wa Singita Grumeti Reserves nawafahamu vizuri sana naweza kusema zaidi ya nusu ya wafanyakazi nawafahamu kwa sura,majina na nyadhifa zao.Ninafanya biashara na Grumeti Reserves wakati mwingine nalazimika kwenda Serengeti kuonana na wakuu wa vitengo mbali mbali hivyo utabaini sihitaji msaada wa Google kukuelezea ninachokijua kuhusu Grumeti reserves.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom