Singita Hotel-most expensive

Hawa wote wanaigana na Bilila iko sawa sawa na hii Singita ambapo mkulu nae ametia pesa yake hapo na ana hisa nyingi tu.
 
Thanks but Dola 2000 all inclusive..unamaanisha nini?and hiyo usd 2000 one night stay ama ?
ulijua mwaka!ahahahhahahahhahahhahahaah hiyo midolari 2000 usingizi mmoja shosti!
NAONA UMESHTUKA KWELI!
we ulidhani mijiaraha yote hiyo ni sh 32800 ahahhahhahah kitu dolare 2000!
 
Hawa wote wanaigana na Bilila iko sawa sawa na hii Singita ambapo mkulu nae ametia pesa yake hapo na ana hisa nyingi tu.
Kazi ipo na ile pale njiani ya BRELA nasikia ina smell of RAT pia, na BRELA ki kifupi cha majina ya vigogo ambapo mmoja si wa Afrika
 
...........watu wanakaa mwezi mzima kwa kulipa dola 2000 kwa usiku mmoja na ndio maana wanaoingia hapo ni mabilionea, na hiyo ndiyo iliyoipaisha singita duniani, think majina kama Bill Gate,Sheril Cole Abramovich etc
ulijua mwaka!ahahahhahahahhahahhahahaah hiyo midolari 2000 usingizi mmoja shosti!
NAONA UMESHTUKA KWELI!
we ulidhani mijiaraha yote hiyo ni sh 32800 ahahhahhahah kitu dolare 2000!
 
Aisee, conclusion inaweza kuwa kwamba life isn;t fair.

Anyway, I wish nikiwa hapo for honeymoon, sijui nitaishia kushangaa tu badala ya kuwa benet na future my wife wangu.
 
Hii ni ya baba mwanasha a.k.a. JK

Ni kweli mkuu, insemekana yeye anamilki ardhi ameingia ubia na wawekezaji ambao wao wamejenga jengo na uendeshaji wa hotel, kuna kipindi 2011 kila baada yupo huko si unajua mkuu akiwepo mikoai ni rahisi kugudua kwa kuwa mkuu wa mkoa na wilaya jirani na mbuga lazima waelekee huko kumpokea kama itifaki inavyosema
 
thubutuuu! Hiyo investment sio ya kitoto!

Info za mmilki hizi hapa, ujue wenzetu huwa hafichi kitu kama sie hivyo mafinyofinyo si kweli ni Riz 1 anamilki kwani hii ni investment ya akili sana na kila kitu kinafanyika USA hapa wanakuja kulala tu a payment ndogondogo while akiwa kwenye tour kama tip etc



Singita Grumeti Reserves is owned by US businessman Paul Tudor Jones and is managed by South African company Singita Game Reserves under Luke Bailes.

The full list of world's best travel and leisure outlets are: best city is Bangkok, best hotel is Singita Grumeti Reserves in Serengeti Tanzania, best Island is Santorini in Greece, the best large ship cruise is Crystal Cruise, best small ship cruise line is Seabourne and best river Cruise line is Tauck.


Paul Tudor Jones II
(born September 28, 1954), is the founder of Tudor Investment Corporation, which is the management company for his various private investment partnerships, also referred to as hedge funds. As of March 2011, he was estimated to have a net worth of USD 3.3 billion by Forbes Magazine and ranked as the 107th richest Americans[SUP][3][/SUP] and 336th richest in the world.[SUP][2][/SUP] In March 2012, Jones ranks No. 330 on the list of the world's wealthiest people.[SUP][4][/SUP] His management company charges the hedge funds he manages a fee that is higher than the industry standards. The industry standards are two percent per annum of assets under management and twenty percent of the profits, whereas Tudor Investment Corp. charges four percent per annum of assets under management and twenty-three percent of the profits.[SUP][5][/SUP]
 
Last edited by a moderator:
mmmh mimi hata sioti kulala pale wala kwenda maana maisha yenyewe hayaeleweki ila siku yakieleweka nitaenda gusa ingawa itachukua miaka mingi
 
Do we really have to be proud of this? The hotel is owned by an American, secondly the hotel is located on the annually migratory route which endangers the world spectacular and largest herbivorous migration
 
Do we really have to be proud of this? The hotel is owned by an American, secondly the hotel is located on the annually migratory route which endangers the world spectacular and largest herbivorous migration

Kweli mkuu tusijisifu sana kwani ni sawa na wewe ukajenga hotel Mombasa alafu mihamala yote inafanyika huku, hapa ela inayoingia kwa Tz ni hiyo ambayo tumezoea wanasiasa wamezoea kusema akija mwekezaji waanchi watapata ajira ambazo kweli jamaa ameajiri watu wengi sana baadhi yao ni watu wa maeneo ya Nata, Mugumu, Fort Ikoma, Lubanda, Mugenda na wengine wametoka nje ya maeneo hayo kwa nafasi ambazo ni za kitaalamu lakini upande wa booking ni issue kwani fedha hizo zinakuwa deposited huko USA, angalau basi hawa jamaa wangekuwa wanabanwa basi hizo transaction ziwe ziafanyika katika bak za hapa nchini tunufaike walau na bank charges na transfer za mihamala.

Kitu cha kujivunia labda ameitangaza nchi kupitia wageni hao na kuilipa halmashauri ya wilaya ya serengeti fedha kidogo kwa kata zilizo jirani na mbuga / hifadhi ili wasishiriki kwenye uwindaji wa wanyama
 
aisee, conclusion inaweza kuwa kwamba life isn;t fair.

Anyway, i wish nikiwa hapo for honeymoon, sijui nitaishia kushangaa tu badala ya kuwa benet na future my wife wangu.
...........kama utakaa usiku mmoja tu wa mawazo
 
ni kweli mkuu, insemekana yeye anamilki ardhi ameingia ubia na wawekezaji ambao wao wamejenga jengo na uendeshaji wa hotel, kuna kipindi 2011 kila baada yupo huko si unajua mkuu akiwepo mikoai ni rahisi kugudua kwa kuwa mkuu wa mkoa na wilaya jirani na mbuga lazima waelekee huko kumpokea kama itifaki inavyosema
lazima atakua na mkono wake
 
do we really have to be proud of this? The hotel is owned by an american, secondly the hotel is located on the annually migratory route which endangers the world spectacular and largest herbivorous migration
totally not supporting
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom