Singita Hotel-most expensive

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,135
13,082
and-a-private-outdoor-area-e1333205262570.jpg
Nani mmiliki wa hii kitu?
 
Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,135
13,082
each-cottage-has-a-private-infinity-edge-pool-e1333205245169.jpg
Tanzania’s Singita Grumeti Reserves Faru Faru lodge, named the best hotel in the world in 2011 by Travel + Leisure magazine’s 16th annual World’s Best Awards, it received a score of 98.44 out of 100 on a list based on reader surveys and feedback. Located at Serengeti National Park, the hotel is made up of two lodges and a tent camp, offers unparalleled luxury in the thick of the wild.
 
Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,135
13,082
Located on the migratory route crossed annually by more than a million wildebeests, it provides guests with an incredible all-time photo canvas right out of their suite's panoramic windows. Despite its remote location, Singita's guests are treated to five-star service and accommodations. Rooms in the tents and villas start at around $1,095 per person per night; rates include daily game drives, food, and drink.
 
Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
16,318
22,694
Mkuu Amavubi Grumeti Reserves inamilikiwa na Bwana Paul Tudor Jones bilionea wa kiAmerika.Singita ni waendeshaji wa hizo Lodges & Camps.Bwana Jones anamilikia ekari 350,000 ambazo amejenga lodges & Camps zake na wanyama wa aina mbali mbali.

Kupitia uwekezaji wake mbuga ya Serengeti imekuwa ikipata wageni wa hali ya juu sana eg Melinda Gate,wafalme na mamilionea wa kiarabu.Pia amejitolea kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa wilaya ya Serengeti na kuukabidhi serekali ya Tanzania.
 
Last edited by a moderator:

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,135
13,082
WASIWASI WANGU NI HOFU YA Jumuiya ya kimataifa kwamba kunendelea kumegwa kwa Serengeti vs mustakabali wa uendelevu wa wanyama, sasa hivi ukipita ni kama huko mbugani, wanyama wa taabu sana kuwaon zaidi ya nyumbu, na bado kuna tafakuri ya ujenzi wa barabara
Mkuu Amavubi Grumeti Reserves inamilikiwa na Bwana Paul Tudor Jones bilionea wa kiAmerika.Singita ni waendeshaji wa hizo Lodges & Camps.Bwana Jones anamilikia ekari 350,000 ambazo amejenga lodges & Camps zake na wanyama wa aina mbali mbali.

Kupitia uwekezaji wake mbuga ya Serengeti imekuwa ikipata wageni wa hali ya juu sana eg Melinda Gate,wafalme na mamilionea wa kiarabu.Pia amejitolea kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa wilaya ya Serengeti na kuukabidhi serekali ya Tanzania.
 
Jodoki Kalimilo

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
10,966
8,254
Mkuu Amavubi Grumeti Reserves inamilikiwa na Bwana Paul Tudor Jones bilionea wa kiAmerika.Singita ni waendeshaji wa hizo Lodges & Camps.Bwana Jones anamilikia ekari 350,000 ambazo amejenga lodges & Camps zake na wanyama wa aina mbali mbali.

Kupitia uwekezaji wake mbuga ya Serengeti imekuwa ikipata wageni wa hali ya juu sana eg Melinda Gate,wafalme na mamilionea wa kiarabu.Pia
amejitolea kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa wilaya ya Serengeti na kuukabidhi serekali ya Tanzania.

Hapo blue, mtu akisoma ataelewa ni kama uwanja umejengwa na tayari serikali imekabidhiwa, bado ipo kwenye proposal na hakuna ambacho kimekuwa implemented mpaka sasa, naona sasa hivi kuna hotel nyingine nayo inakuja kwa kasi inaitwa Bilila Kempesky Hotel
 
ThinkPad

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
1,842
225
Kuna lodge ingine Mupya inaitwa Serengeti house yaani ni balaa room inaanzia usd 7000 tembea uone

Sent from my GT-N7100 using Tapatalk 2
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

2 Reactions
Reply
Top Bottom