Singita Hotel-most expensive

Tanzania sio nchi masikini wapendwa. Tatizo ni maono ya hao watu mliowapa dhamana ya kuwaongoza. Bado kuna safari ndefu sana!
 
Paul Tudor Jones II (born September 28, 1954), is the founder of Tudor Investment Corporation, which is the management company for his various private investment partnerships, also referred to as hedge funds. As of March 2011, he was estimated to have a net worth of USD 3.3 billion by Forbes Magazine and ranked as the 107th richest Americans[3] and 336th richest in the world.[2] In March 2012, Jones ranks No. 330 on the list of the world’s wealthiest people.[4] His management company charges the hedge funds he manages a fee that is higher than the industry standards. The industry standards are two percent per annum of assets under management and twenty percent of the profits, whereas Tudor Investment Corp. charges four percent per annum of assets under management and twenty-three percent of the profits.[5]
 
Huyu anaweza kumiliki chochote aisee
 
uchumi tunao lakini tunaukalia-JK Nyerere
Tanzania sio nchi masikini wapendwa. Tatizo ni maono ya hao watu mliowapa dhamana ya kuwaongoza. Bado kuna safari ndefu sana!
 
Katika hotel bora africa ni ya kwanza kwa standard zote na katika dunia ipo kwenye top ten
 
Watu wanakuja maskini na kuondoka matajiri alafu bado mwajiita maskini!
 
Ila mazingira haya uingiapo ndani ya maji yanataka uangalifu usije kuta Kiboko naye yumo humo!
 
Katika hotel bora africa ni ya kwanza kwa standard zote na katika dunia ipo kwenye top ten
yah, but uwekaji wa viwango una vigezo vingi sana......mahali ilipo tu panauza sana..............lakini wenzetu wasingekubali kwa mustakabaliwa wanyama...................tafakari sana................
 

Mkuu je Tanzania kama Tanzania inanufaika nini na uwekezaji huu ???? au ni vijihela tu vya madafu??
 
Last edited by a moderator:
*****, tunalia ukata sasa tuTaweza kwenda huko? Nawezajilipua kwa siku tatu tu. Mimi na mzee mwenzangu tukirudi home ujue tunaanza maisha upya! KWI KWI KWI KWI

TEMBEA UONE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…