jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,558
- 25,322
Mnyampaa Ifaghaa mie pia niko Singida! ninavyofahamu mie ni kuwa watu watalipwa fidia kama ulivyosema mwenyewe..!! kama kutakuwa na mwenendo tofaut na huu then activists have to do something.!
kwanini hao wananchi wasifanywe kuwa sehemu ya mradi ili waendelee kupata faida itakayozalishwa eneo lao toka enzi za mababu, fidia ndiyo nini, upepo umewafanya wanyaturu meno kutokeza mdomoni leo mnatiwa ujinga na neno uwekezaji? bogus kabisa wewe nyekele na ccm yenu!