Singida: Tundu Lissu aingia Mitaani kusalimia wananchi

Singida: Tundu Lissu aingia Mitaani kusalimia wananchi

Singida kama Bukoba ambako wasomi wameshindwa kuukwamua mkoa
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema , Tundu Lissu , leo amejitokeza mitaani kusalimia Wananchi ambao ni Watanzania wenzake .

View attachment 2616769

Uungwana ni Vitendo .

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Yeye ni mmoja ya walioshiriki kuifilisi LEAT, chama Cha wanasheria wa mazingira, waliiba Hela za wafadhili halafu wakajifanya kujiondoa katika uongozi, na hapo alipo anawaza hela tu.
 
..angalia Waitara anavyosumbuliwa kwa kutetea wananchi huku ni mbunge wa CCM.

..sasa fikiria hujuma na usumbufu wanazopitia wabunge wa upinzani kutoka ktk mfumo wa ki-CCM.

..tunahitaji KATIBA MPYA ili wananchi wawe na haki zaidi, na wabunge wafanye kazi zao kwa uhuru zaidi.
Kwahiyo wapinzani wasigombee ubunge Kwa kuwa ni sawa na Bure . Sasa mnatafuta ubunge wa Nini. Unamaanishaa kumbe ubunge wa lisu haukuwa na msaada wowote Kwa wananchi??
 
Back
Top Bottom