Singida: Tundu Lissu aingia Mitaani kusalimia wananchi

Kwahiyo wapinzani wasigombee ubunge Kwa kuwa ni sawa na Bure . Sasa mnatafuta ubunge wa Nini. Unamaanishaa kumbe ubunge wa lisu haukuwa na msaada wowote Kwa wananchi??

..kwa kiwango kikubwa wabunge hawana msaada.

..madaraka makubwa kupita kiasi yamepewa SERIKALI KUU na kupelekea Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya kuwa kikwazo kwa wabunge.
 
Kwahiyo tusiwaone mnagombea ubungeee, gombeeenii uraisiii, kupitia jamaa yenu wa kutoa ushuhudaa.
Ila mtagaragazwa vile vileeee
 
..Katiba mpya na Ugatuzi wa madaraka ndio suluhisho.

..Nitakupa mfano mmoja ili uelewe hoja ninayojaribu kujenga.

..Mwaka 2015 kwa Jiji la Arusha Chadema walishinda ubunge, na madiwani. Pia kura za Uraisi walimpa Lowassa / Chadema.

..Kwa msingi huo wapiga kura wa Jiji la Arusha walichagua ILANI na Chadema.

..Kilichotokea ni Raisi Magufuli kutoa amri kwamba kitakachotekelezwa Arusha ni ilani ya CCM.

..Na akateua Mkuu wa Mkoa na Wilaya waliohakikisha wanawatia misukosuko Mbunge na Madiwani wa Chadema.

..Magufuli alitakiwa aheshimu maamuzi ya wananchi kwa kuwezesha ilani za Chadema na Ccm kutekelezwa, na sio kupindua meza kama alivyofanya.

..Kwa hiyo tunahitaji KATIBA MPYA ambayo itahakikisha maamuzi ya wapiga kura yanaheshimiwa.
 
Asipoelewa kwa elimu hii basi atakuwa kichaa

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Umetuacha Imara, Tanzania Salama, Mungu akulaze mahala pema peponi!
Screenshot (54).png
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema , Tundu Lissu , leo amejitokeza mitaani kusalimia Wananchi ambao ni Watanzania wenzake .

View attachment 2616769

Uungwana ni Vitendo .

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Pongezi kwako kamanda Lissu kwa kazi nzuri ya kukiimarisha chama kutoka mashinani hadi taifani. Mungu akubariki sana Rais wetu mtarajiwa kuanzia 2025 na kuendelea.
 
..Katiba mpya na Ugatuzi wa madaraka ndio suluhisho.

..Nitakupa mfano mmoja ili uelewe hoja ninayojaribu kujenga.

..Mwaka 2015 kwa Jiji la Arusha Chadema walishinda ubunge, na madiwani. Pia kura za Uraisi walimpa Lowassa / Chadema.

..Kwa msingi huo wapiga kura wa Jiji la Arusha walichagua ILANI na Chadema.

..Kilichotokea ni Raisi Magufuli kutoa amri kwamba kitakachotekelezwa Arusha ni ilani ya CCM.

..Na akateua Mkuu wa Mkoa na Wilaya waliohakikisha wanawatia misukosuko Mbunge na Madiwani wa Chadema.

..Magufuli alitakiwa aheshimu maamuzi ya wananchi kwa kuwezesha ilani za Chadema na Ccm kutekelezwa, na sio kupindua meza kama alivyofanya.

..Kwa hiyo tunahitaji KATIBA MPYA ambayo itahakikisha maamuzi ya wapiga kura yanaheshimiwa.
Haipo
 
Huwa naikumbuka kauli maarufu ya Lisu dhidi ya jiwe;-
"Tuna rais wa ajabu haijawahi kutokea" . Naomba nirudie " Tuna rais wa ajabu haijawahi kutokea"
 
Ili Tz iendelee ni lazima rais wake awe wa ajabu ambaye hajawahi kutokea
 
..Katiba mpya na Ugatuzi wa madaraka ndio suluhisho.

..Nitakupa mfano mmoja ili uelewe hoja ninayojaribu kujenga.

..Mwaka 2015 kwa Jiji la Arusha Chadema walishinda ubunge, na madiwani. Pia kura za Uraisi walimpa Lowassa / Chadema.

..Kwa msingi huo wapiga kura wa Jiji la Arusha walichagua ILANI na Chadema.

..Kilichotokea ni Raisi Magufuli kutoa amri kwamba kitakachotekelezwa Arusha ni ilani ya CCM.

..Na akateua Mkuu wa Mkoa na Wilaya waliohakikisha wanawatia misukosuko Mbunge na Madiwani wa Chadema.

..Magufuli alitakiwa aheshimu maamuzi ya wananchi kwa kuwezesha ilani za Chadema na Ccm kutekelezwa, na sio kupindua meza kama alivyofanya.

..Kwa hiyo tunahitaji KATIBA MPYA ambayo itahakikisha maamuzi ya wapiga kura yanaheshimiwa.
Mkuu mzee mwenzangu JokaKuu kongole kwako.
Unastahili kuchukua Tuzo ya muelimishaji bora mvumilivu wa hapa JF.
Kuna watu humu wanajitoa akili kama huyo uliye mjibu lakini mbishi pamoja na elimu ya bure unayotumia nguvu zako kumpa.
Wengi hatuwezi wavumilia wasioelewa lakini wabishi
 
Back
Top Bottom