Muda si mrefu atatimkaKumbe yupo nikajua yupo belg
Muda si mrefu atatimkaKumbe yupo nikajua yupo belg
na bila taarifa huyu mwamba sioMuda si mrefu atatimka
Mbona siwaoni hapo? Hakuna kapicha kengine kenye watu wengipo?Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu leo amejitokeza mitaani kusalimia Wananchi ambao ni Watanzania wenzake.
View attachment 2616769
Uungwana ni Vitendo .
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
sasa si ukaripoti polisi....hapa hutopata msaada.Yeye ni mmoja ya walioshiriki kuifilisi LEAT, chama Cha wanasheria wa mazingira, waliiba Hela za wafadhili halafu wakajifanya kujiondoa katika uongozi, na hapo alipo anawaza hela tu.
Naenda nae kisiasasasa si ukaripoti polisi....hapa hutopata msaada.
Nini cha ajabu na habari hii?Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu leo amejitokeza mitaani kusalimia Wananchi ambao ni Watanzania wenzake.
View attachment 2616769
Uungwana ni Vitendo .
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Unavaa koti au sweta mchana alafu uko singida Dah!Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu leo amejitokeza mitaani kusalimia Wananchi ambao ni Watanzania wenzake.
View attachment 2616769
Uungwana ni Vitendo .
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Huyu mwamba hachoki😆😆Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu leo amejitokeza mitaani kusalimia Wananchi ambao ni Watanzania wenzake.
View attachment 2616769
Uungwana ni Vitendo .
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
HeheheeUnavaa koti au sweta mchana alafu uko singida Dah!