Singida: Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei 1, 2025

Imeingia doa baada ya kushambuliwa kitima lakini pia kesi ya uongo dhidi ya LISU na hao wote wanatokea singida. Msidhani watu wanafurahi hapanamioyoni mwao wamejaza mengi.
 
Pole wafanyakazi mnaenda kuandamana alaf no nyingeza,mnajiaibisha sana,wataalam wetu
 
Huyu Sheikh Kilaza anaomba maombi gani kwa mbele ya Mwenyezi Mungu? Eti anamwomba Allah afanikishe uwanja uitwe jina la Halima Dendegu. Hilo ni la kumwomba Mwenyezi Mungu?

Halafu katikati ya ombi akajistukia na kumwambia tena Allah "Hapa sifanyi siasa, hili ni ombi na siyo siasa, naomba Uwanja huu uitwe Halima Dendegu". Watu acha waangue kicheko. Bloody fucken kabisa.
 
Huyu Sheikh Kilaza anaomba maombi gani kwa mbele ya Mwenyezi Mungu? Eti anamwomba Allah afanikishe uwanja uitwe jina la Halima Dendegu. Hilo ni la kumwomba Mwenyezi Mungu?

Halafu katikati ya ombi akajistukia na kumwambia tena Allah "Hapa sifanyi siasa, hili ni ombi na siyo siasa, naomba Uwanja huu uitwe Halima Dendegu". Watu acha waangue kilio. Bloody fucken kabisa.
Aisee ni aibu kuu
 
Hyo bwana msenge sana
 
Kazi kweli kweli
 
Halafu katikati ya ombi akajistukia na kumwambia tena Allah "Hapa sifanyi siasa, hili ni ombi na siyo siasa, naomba Uw2anja huu uitwe Halima Dendegu". Watu acha waangue kilio. Bloody fucken kabisa.
Mpaka watu wakaanza kuzomea...

Aibu kubwa sana sijui nani anawachagua kuongoza sala.
 
Imeingia doa baada ya kushambuliwa kitima lakini pia kesi ya uongo dhidi ya LISU na hao wote wanatokea singida. Msidhani watu wanafurahi hapanamioyoni mwao wamejaza mengi.
Ni kama vile kaenda ku- test mitambo ya kukubarika kwake... anawashambulia watoto wao halafu anaenda kuwatembelea kuona kama watamzodoa. Tabu tupu
 
Imeingia doa baada ya kushambuliwa kitima lakini pia kesi ya uongo dhidi ya LISU na hao wote wanatokea singida. Msidhani watu wanafurahi hapanamioyoni mwao wamejaza mengi.

Mfanyakazi wa nchi hii hana cha kusherehekea.

Hiyo ni sherehe ya watawala kwa kutumia jina la wafanyakazi. Ni sherehe walioiandaa wao, siyo wafanyakazi.

Hapo leo hii watakuwa wamejaa watekaji, wauaji na watawala mafisadi, wakiwaalika wafanyakazi wachache kwenda kubariki maovu yao.
 
Nilisema katika mei mosi zote hakuna mei mosi ambayo raisi atasifiwa kupita kawaida kuliko hii
 
Back
Top Bottom