Singida Out, iwe fundisho siku nyingine

Niseme kweli SSC bado inasafari ndefu.

Haiwezi ule mpira wa kukimbizana dakika 90 bila kuchoka, mpira wa SSC ni slow na sio mpira wa kulazimisha ushindi.

Bado nina mashaka na sajili zao, huyu Sarr ambaye ni Rasta ni kweli alicheza against Ronaldo au ndio sajili za promo kwa SSC.

Yule mchezaji aliyetoa pasi na adui kushinda goli shida ni umakini au ujinga.

Nakumbuka SAMATA alitimuliwa EPL’sababu mabosi zake hawakuwa na muda wa kumsubiri mtu awe mzuri au over time , tumekuajiri tunakulipa, leta matokeo, full stop.

Bado reform inahitajika SSC . Mpira wao sio mpira wa ushindani, bado sijajua shida ipo wapi SINBA? inawezekana Simba inahitaji pia mwanasaikolojia wa kuamsha morali ya wachezaji, I guess

Anyway , wachezaji wa Singida wajifunze NIDHAM ya mpira na hii ni shida snaa ndio maana wachezaji wetu wa ndani hawafiki mbali. Nyoso alikuwa mzuri snaa , where is he now ? DISCIPLINE NI MANDATORY kwenye any career development. Vijana msisahau hilo, ukitaka kumjua mchawi wako, nenda kwenye kioo.

Kuna yule alitaka kumpiga mwamuzi, hivi mtu kama huyu ameingiaje LIGI KUU?

Ameingiaje, mmmh

, huyu ni mtu wa kucheza mpira wa mchangani sio professional football, ni kijana wa hovyo na hopeless…. Hafik mbali kimpira.

Mpira ni kazi na inahitaji character development na reputation.

Leo hii Samata angekuwa anapiga waamuzi unadhan angeitwa tena huko Genk , vijana tuwe serious na kazi, kuna Camera, records , why would you do such a thing , stupid as stupid does.

Ni Kama wamefunga Goli kwa kubahatisha, why upoteze muda makusudi kabisa, dakika zimeongezwa that means hata nyie mnayo chance ya kuongeza goli, kitendo cha kupoteza muda ni kutojiamini na kukosa nidham.

Alichofanya refa ni sahih, and he was warning them all along , kwamba acheni huo ujinga but hawakusikia

Na ile ni kona halali, waache kudhan wameonewa, wangepambana goli lisiingie sio kuleta excuses……. Goli la kimpira kabisa

kipa kaenda kudakia mpira nje then anarudi ndani, alitakiwa kuuacha. KONA NI HALALI NA GOLI NI HALALI

And still , Singida alikuwa na chance ya kuitoa SSC kwa penalt , mbona wameshindwa, hata huyo aliyetaka kumpiga Mwamuzi amekosa penalt …….. kiazi kanisa.

Wakati mwingine tuheshimu waamuzi, tusiwe na majibu yetu.

Mpira unaisha hadi filimbi ya mwisho na sio kujiangusha kama waarabu.

SSC mnayokazi ya ku reform timu yenu, ila Kombe linabaki Zanzibar.
Umenena vema mwanaYanga. Wewe ni analyst wa ukweli sio chawa wa Jangwami
 
Umeongea Mambo mazuri Sana lakini umeshindwa kuficha mapenzi Kwa Simba. Kutoona madhaifu ya refa Jana na kusema alichezesha vizuri ni upofu.
 
Acha kujieleza sana na kujisahaulisha kikubwa mpen refa fungu lake na kagere msiwatose hii kawaida yenh
 
Naomba msaada wa kuelimishwa. Kipa akidakia nje hali ya kuwa mpira haukuguswa na mchezaji wa upande wake inakuwaje?
Mpira uliguswa na mchezaji wake wakati Saidoo anapiga ule mpira! Ndio maana kipa aliuwahi ili usitoke nje ila tiyali akawa amechelewa na ikawa kona!
 
Kipa mwenye akili timamu hawezi hangaika kwenda kudaka mpira ambao umetoka wakati yeye ndie mwenye advantage anaongoza goli na dakika zimeisha....

Ningependa kujua kwa nini kipa alienda kudaka mpira nje?
Ndo hapo, yule kipa alikuwa bingwa wa kupoteza mda halafu akimbilie kuudaka nje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alipaswa kuwa ndan
Ila ule mpira ni utata mno, kipa aliudaka halafu akageuka nao nje.

But pia kisheria sijui kama imefutwa kutokana na VAR ila sheria ilikuwa kipa akidaka mpira kwenye mstari wa goli halafu akageukia golini mpira unawekwa kati. Ila yule kipa jana kadaka ile cross akageukia nao nje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom