Hussein Massanza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 918
- 1,995
Safi sana, kuna dogo nitampa nauli aje ni hatari sana
mchukuwe u20 kweli sio vijeba kama wale jamaa wa mbeya kwanza 🤣 🤣 🤣
Je hamtakuwa na majaribio kwa vijana wa U23, nina mdogo wangu mashine ya kazi, mwanzo alikuwa future stars, then akapata Azam ya wadogo lakini ikatokea kutokuelewana vyema, ikabidi arudi shule. Kwa sasa yupo huru baada ya kumaliza masomo
Kila la heri, tuleteeni burudani
inaanzaga hivyo ila baadae mashindano yakikaribia mnaanza kuingia kwenye siasa za kutaka kushinda kombe hivyo wale "vifaranga' mnawaweka pembeni. msifanye hivyo.Ni U20 kweli. Tutafanya uhakiki.
Asante sana kwa taarifa. Kuhusu suala la Mazoezi bado anafanya kwa bidiiHapana mdau, kwa sasa ni U20 Trial pekee. Kama tutakuwa na ratiba nyingine tutatoa taarifa mapema. Mwambie asiache kufanya mazoezi na kuwa tayari muda wote.
Asante sana kwa taarifa. Kuhusu suala la Mazoezi bado anafanya kwa bidii
Mimi natamani aje hapa atueleze vigezo watakavyotumia kupata wachezaji halisi wa U - 20!mchukuwe u20 kweli sio vijeba kama wale jamaa wa mbeya kwanza 🤣 🤣 🤣
Sikuhizi hakuna U23Je hamtakuwa na majaribio kwa vijana wa U23, nina mdogo wangu mashine ya kazi, mwanzo alikuwa future stars, then akapata Azam ya wadogo lakini ikatokea kutokuelewana vyema, ikabidi arudi shule. Kwa sasa yupo huru baada ya kumaliza masomo
Bora wee umeonga ukweli mtupu. Tunadanganyana sana tuu mashindano wachezaji vijeba alafu tunakaa kabisa na kusema ni u20. Sie hatupo serious ndio maana tunaishia kuruhusu foreign players 12.Mimi natamani aje hapa atueleze vigezo watakavyotumia kupata wachezaji halisi wa U - 20!
Maana kwenye mashindano ya U 20 yaliyopita hivi karibuni, timu nyingi zimechezesha wachezaji wenye umri wa zaidi ya miaka 20!
Na madhara ya kufanganya umri ni makubwa sana kwenye maendeleo ya soka nchini.
Naongea hivi nikiwa kama bosi mstaafu wa timu fulani hivi ya vijana huko Iringa. Ilifikia wakati unaangalia mchezaji mwenye umbo dogo, au yule aliyechelewa kuota ndevu! Anashushwa umri kutoka miaka 24, 25, au 26! Mpaka miaka 18! Na usipofanya hivo, basi ujiandae kuwa kibonde wa mashindano.