Hussein Massanza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 918
- 1,994
Watu wa Soka,
Nawaletea taarifa kuhusu Singida πππ πππ tarehe 4/8/2022 katika Uwanja wa Liti (zamani Namfua).
Tumeamua tuwe na siku yetu maalum kama walivyofanya wenzetu Simba na Yanga, tukachagua jina iitwe BIG DAY, halafu kwa mara ya kwanza tunaifanyia Singida.
Matukio yatakuwa mengi na makubwa, lakini tukio kubwa kuliko litakuwa ni la mechi yetu ya kirafiki na timu kubwa kutoka Zambia, Zanaco FC.
Tunawakaribisha wote mshuhudie:
1. Kikosi kamili cha Singida Big Stars wakiwemo wachezaji takribani 8 wa kimataifa ambao hatujawahi kuwatambulisha wala kuwataja popote.
2. Benchi la Ufundi bora zaidi
3. Burudani mbalimbali zikiwemo mechi za utangulizi na muziki.
Pia kuna surprise moja kubwa ya kutikisa nchi!