Singida Big Day: Singida Big Stars vs ZANACO

Dabil

JF-Expert Member
Sep 30, 2021
5,885
13,263
Wachezaji wanatambulishwa.
Kagere ,Wawa na wachezaji wengi tu wakubwa kibao

Uwanja umejaa ,naona wanapitia hatua zile zile za wapinzani wa jadi.

Kwa hizi bwembwe na wachezaji hadi Brazil Azam jiandaeni ligi ngumu hii ila ukweli ni kwamba watani wa Kariakoo huwa wanapishana ubingwa tu ila nafasi msimamo ni 1 na 2.

Azam sport HD live mechi inaanza kati ya Singida Big Star vs ZANACO.

Update: kocha wa Singida Hans Van der
Antonio Nugaz ndo mshereheshaji mzee wa wape salaam!

Kaseke naye anapasha
View attachment 2314056View attachment 2314057View attachment 2314058

Kikosi cha Singida
View attachment 2314063

Updates

Namna gani vile Mbrazil wa Singida anapiga shuti kipa wa zanako anachukua na kutema dk ya 3

Dk 4' ZANACO wanashindwa kufunga kipa wa Singida anadaka


Dk 6' ZANACO wanapata kona ila fyongo inakuwa goal kick.

Dk ya 14 Deus Kaseke anawaandikia Singida goli,pasi ndani ya box naye anaunganisha


Singida 1 ZANACO 0

Dk 23' Huna Abdul mnyamani anaumia baada ya kushambuliwa na kuruka juu

Dk ya 25 Singida united wanakoswa huku wakisali ya Mungu mengi

Dk ya 27" Demla anamkosa kipa wa ZANACO inakuwa reflection na kuwa corner


Dk 45' zimeisha imeongezwa dk 1 ,matokeo vile vile. Kuna mchezaji wa Singida united analala chini kama ana mapepo na refa Arajiga anaona hii janja tu.
Kipenga kinapulizwa ni half time



Tukutane kipindi cha pili..


kipindi cha kwanza ZANACO hawana hata shoot on target


.........

Dk 45 za kwanza tayari wachezaji wanarudi. Big surprise kwao leo ni Medie Kagere.


Dk.45 mpira unaanza


Dk 55 " Khamis Tambwe anaenda benchi kumpisha Nicolaus Gyun


Dk ya 75' mchezo 50/50 Wawa anaonyesha kiwango kubwa,Demla heri Simba wamemwuza mpiga miwa golini

Dk ya 82' ZANACO wanapiga ila hovyo.

Dk ya 83 Singida wanashambulia Demla anapiga kipa wa ZANACO anapanchi.

Dk 91" Singida wanaongoza goli moja ,kuna sub nasikia Diaz,Mbrazil anafanyiwa sub na Mbrazil?



Mechi imeisha,ninachoweza kusema goli ya bahati Singida wamefunga not technical,ila wapo vizuri.

Tunawakaribisha ligi kuu
Takwimu mechi nzima!View attachment 2314140
 
Hii nguvu ya usajili wa nje kama wataendeleza kwa miaka 3 au zaidi watafika mbali ,I hope siyo nguvu ya soda

Dk ya 30 Singida Big Stars 1 ZANACO 0,waliobeti G.G first half ongezeni maombi ,draw Sala ziongezeke,wanaotarajia kubet jisemee 'ya nini mie?
 
Kocha wa Singida anahojiwa kwamba hii game ya kirafiki unachukulia kama ya ushindani na unaonaje na ile mechi ya Yanga?

Anajibu :Tumealikwa ni heshima kubwa ,siyo mara ya kwanza kuwa Tanzania.
Kwahiyo tutaenjoy game
 
Timu ioneshe ushindani wa kutosha sasa sio mbwembwe kama za mandonga

utupe na updates za matokeo yao na Zanaco sijui zesco wakishacheza
 
Timu ioneshe ushindani wa kutosha sasa sio mbwembwe kama za mandonga

utupe na updates za matokeo yao na Zanaco sijui zesco wakishacheza
Ni ZANACO mkuu waliocheza na Yanga ,updates nakupa hatua kwa hatua.

Timu zipo vyumbani kusubiriwa kipute ianze
 
Wachezaji wanatambulishwa.
Kagere ,Wawa na wachezaji wengi tu wakubwa kibao

Uwanja umejaa ,naona wanapitia hatua zile zile za wapinzani wa jadi.

Kwa hizi bwembwe na wachezaji hadi Brazil Azam jiandaeni ligi ngumu hii ila ukweli ni kwamba watani wa Kariakoo huwa wanapishana ubingwa tu ila nafasi msimamo ni 1 na 2.

Azam sport HD live mechi inaanza kati ya Singida Big Star vs ZANACO.

Update: Hans Pope ndo kochwa Singida

Kaseke naye anapasha
View attachment 2314056View attachment 2314057View attachment 2314058
Hans pope ndio kocha tena? 🤣🤣🤣🤣 We jamaa simba kumbeeee
 
Huwezi kujua labda jamaa ana plan b kwenye uwekezaji anajitosa rasmi kwenye biashara au anatakatisha fedha
Sii watoto wa mjini wanasema anamiliki betting company...so hela itaendelea kuwepo tuu kama ni kweli
 
Back
Top Bottom