Singeli ni Muziki wa hovyo sana

Drone Camera

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2017
Posts
14,157
Reaction score
14,119
Hii aina ya mziki ni ovyo sana!

Haifundishi jamii zaidi inaharibu.Wasanii wengi wa huu muziki mwanzoni walikuwa wapiga roba na waliza watu tu.

Uchezaji wake wa hovyo yaani ni vurugu.Inakuwa si burudani tena!

Hauwezi kufika kimataifa huu.Msitegemee singeli kushindana na South African Kwaito.Haitatokea.

Muziki unachochea ngono tu na kurahisisha biashara haramu.

Hovyo sana!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…