Singapore kuboresha Bandari ya Dar

Hivi kuna cordination ya hizi project kweli? Huku tunajenga bandari ya Bagamoyo, huku tunatafuta ufadhili wa kuboresha ufanisi wa bandari ya Dar!
 

Heshima yako mkuu,

Vipi kuhusu masuala ya hospitality yaani kama kuna hoteli zenye unafuu na pesa zetu hizi za bajeti?

Mwezi Julai wana sherehe yao wao huiita Hari Raya Puasa ambapo wanasherehekea msimu wa joto.
 
watu hawaamini. nimehudumia meli za CMA CGM katika kutoa huduma za ufundi bandari ya DSM, meli hizi humilikiwa na wa Poland, ma Injinia wake na kituo kikuu cha huduma ya ufundi kipo Singapore, Service Engineer alinishangaza sana kuhusu singapore. anasema meli 12 za urefu wa mita 105 zinatia nanga na kupakua mizigo kwa wakati mmoja. Singapore ni hub ya bahari ya Hindi, meli yeyote kutoka china, mashariki ya mbali, Japan na baadhi yake latin america -Asia hupita Singapore, meli huenda singapore kwa sababu kadhaa, moja ni ya kijiografia, 2 ni kufanya cargo interchange, 3. ni loading new cargo and offloading,4 ni huduma za ufundi. makampuni yote makubwa baharini yana office singapore, makampuni yote yanayowezesha huduma za ufundi baharini yana office Singapore, hivyo kuna meli hupata matatizo baharini wakiwa safarini hujaribu kuplan kupata huduma za ufundi Singapore kwa kuwa ni nzuri ukiwa unatengeneza meli huku unatafuta mzigo na kuplan route ukiwa Singapore. kumbuka banari ya beira na dsm hutegemea karakana ya meli iliyoko Mombasa Kenya. hivyo Singapore wapo mbali mno ktk bandari. kwa leo niishie hapa
 
Kanchi kadogo kama Singapore kanatushinda na eti kunakuja kutupa msaada shame on our country
Aliyekutangulia kakutangulia tu mkuu. Sisi tutimize wajibu wetu kujaribu kuwafikia...

Kwa kuanzia tuwekeze kwenye umeme na reli. Hata uwe na bandari bora kiasi gani kama unategemea malori kusafirisha mizigo hauna reli, hawa wawekezaji utawasikia bombani tu
 
Kwani kwa hapa Dar uwezo wetu ni kuhudumia meli ngapi kwa siku?
Kwa meli za kawaida za makontena... hatuna ujanja wa kuhudumia zaidi ya meli mbili kwa siku!!
 
Mkuu meli ya mita 105 ni ndogo sana hiyo. Hivyo ni vi feeder ambavyo haviwezi hata kubeba kontena 400 (400teus). Ni kama hivi vya hapa kwetu vinavyofanya ruti fupi za Zanzibar/Dar/Tanga.
 
Sasa ni wakati muafaka pia kwa Tanzania kwenda kujenga Barabara za DRC, kuna soko kubwa ila Barabara ni mbovu mno

Hivi tayari msha ona Tanzania tuna barabara nzuri ..............!!?
 
hahahahah wazee wa kucopy na kupaste
 
Kwa meli za kawaida za makontena... hatuna ujanja wa kuhudumia zaidi ya meli mbili kwa siku!!
Khaa!!! Basi tupo nyuma sana na Magu ana kazi kubwa sana mbele yake.

Ila waTZ tuna roho ngumu kweli na hapo kwenye hizo meli 2 mizigo ya meli 1 ilikuwa inapitishwa bila kulipiwa kodi[emoji24]

Kweli aliyeturoga lazima atakuwa kashakufa tayari

Sent from my HTC_M910x using JamiiForums mobile app
 
Heshima yako mkuu,

Vipi kuhusu masuala ya hospitality yaani kama kuna hoteli zenye unafuu na pesa zetu hizi za bajeti?

Mwezi Julai wana sherehe yao wao huiita Hari Raya Puasa ambapo wanasherehekea msimu wa joto.

Hari Raya ni sawa na Eid Fitr kwa huku kwetu siyo sherehe kusherehekea msimu wa Joto.
 
Heshima yako mkuu,

Vipi kuhusu masuala ya hospitality yaani kama kuna hoteli zenye unafuu na pesa zetu hizi za bajeti?

Mwezi Julai wana sherehe yao wao huiita Hari Raya Puasa ambapo wanasherehekea msimu wa joto.

Kuhusu masuala ya "Hospitality" Hasa kuhusu hotel za bei nafuu ni nyingi pia tegemea kukutana na Citizen's Hospitality (individual) ya hali ya juu kuliko unavyofikiria hasa kwa Mtanzania wale jamaa ni watu walio NYOOSHWA na Kiongozi wao Mr Lee Kwan Yu na wamenyooka hadi utawaonea "Gere" ni jamii inayo thamini wageni kupita kiasi kwa kujua kuwa huwezi kwenda kwao kama hu "Spend" hivyo wamejengwa kumnyenyekea mgeni ili aache kila Dola aliyokuja nayo, ndio maana ukimkaribia mwenyeji yeyote huwa wana "SMILE" hata kama ana matatizo ili kukuonyesha "UKARIMU" wao.
 
Kanchi kadogo kama Singapore kanatushinda na eti kunakuja kutupa msaada shame on our country
ndo tumeamka bro acha kutukana .......!! VASCO DA GAMA aliigeuza hii nchi kichwa cha mwendawazimu
 
Lake Turkana Wind Power Plant
LTWP

Capacity: 300 - 310 MW
Turbines: 365 (850 kW)
Status: U/C
Cost: KES. 72 billion (€ 625 million)
Location: Loiyangalani, Marsabit County, Kenya
Project Commencement: 2015
To be Commissioned: First 90 MW between 2016 - 2017

 
You have said it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…