Kwa siku Meli 60???? Kwa siku Makontena 91,000??? Really??
Nadhani bandari zinazoheshimika kwa ufanisi kama Felixstowe, Barcelona na HIT zinapaswa kujifunza kutoka kwa hawa jamaa.
Bandari haiwezi hudumia meli 60 au kontena 91,000 kwa siku (nadhani ikimaanisha 91000TEUs) afu ikawa inachangia only 7% ya pato la taifa. Sijui lakini..... kuna maajabu mengi sana siku hizi duniani.
Kweli kabisaKama tunataka ufanisi na faida kwenye bandari zetu lazima tujifunze kutoka The Port of Singapore Authority.
Hawa jamaa wanawezesha asilimia zaidi 7 za pato la taifa kupatikana kwa njia ya maritime industry. Wanashughulika kwa ufanisi na meli zaidi ya 60 kwa siku, makontena zaidi ya 91,000 kwa siku.
Wenzetu wanatumia one-stop-centre katika documentation za makontena na hakuna rushwa, uzembe na urasimu.
Sisi bandari zetu zinanuka uzembe, rushwa na ufisadi kuanzia wafagiaji mpaka top level management.
Ikumbukwe, Singapore ilikuwa ni nchi masikini sawa na Tanzania kwenye miaka ya 1970 lakini kwa sasa ni moja kati ya nchi tajiri duniani.
Where there is will there is a way!
Inafkiri wale wanaendekeza siasa kama Tz ? Think againKwa siku Meli 60???? Kwa siku Makontena 91,000??? Really??
Nadhani bandari zinazoheshimika kwa ufanisi kama Felixstowe, Barcelona na HIT zinapaswa kujifunza kutoka kwa hawa jamaa.
Bandari haiwezi hudumia meli 60 au kontena 91,000 kwa siku (nadhani ikimaanisha 91000TEUs) afu ikawa inachangia only 7% ya pato la taifa. Sijui lakini..... kuna maajabu mengi sana siku hizi duniani.
Ingia Youtube utapata documentary yao..Ntashukuru kiongozi. Nimejitahidi ku google lakini sijafanikiwa kupata nlichokitaka
Exactly mkuu ni nchi yenye eneo dogo tu lakin ni moto wa kuotea mbali..Takwimu za wakatu huo mimi nimetembelea bandari hiyo ilikuwa ya 3 busiest duniani na 1 fastest in cargo handling duniani. Kumbuka ni mji tu kama Dar, msisikie nchi ya Singapore mkadhani ni kama Tanzania ambayo kwao sisi ni Bara zima!!!
Marhabbaaaa hapo umemaliza kila kitu. Tz tuna Madiwani wasojua kusoma wala kuandika Kiswahili fasaha achilia mbali yai.Wewe inawezekana una uelewa zaidi wa haya mambo LAKINI mimi ninachojua ni kuwa SINGAPORE ndiyo nchi inayoongoza kwa productivity Duniani. Mataifa makubwa kama Japan na Marekani huwapeleka watu wao kwenda kujifunza productivity Singapore.
Kama inawezekana Singapore ijenge chuo hapa nchini ili kuwafundisha Watanzania productivity maana mpaka sasa ipo chini sana. Tena kama Singapore itawekeza nchini, serikali kwa kuanzia iruhusu makampuni hayo ya Singapore yawalete wafanyakazi wengi toka Singapore ambao watapunguzwa taratibu, lengo ni kuwafanya watanzania wajifunze jinsi kazi zinavyoweza kufanyika kwa speed na accuracy. Watanzania accuracy yetu ni ndogo, speed ndogo, kuthamini muda ni zero, kulalamika na majungu 90%, matumizi -na kutanua 100%.
Note: Productivity = Tija= speed + accuracy
Hujui maana ya nchi ndogo Na kubwa , so kwa sababu ya ukubwa wa eneo , ni uwezo wa nchiKanchi kadogo kama Singapore kanatushinda na eti kunakuja kutupa msaada shame on our country
Ntashukuru kiongozi. Nimejitahidi ku google lakini sijafanikiwa kupata nlichokitaka
Safi sana tutajifunza mengi kutoka kwao, Singapore ni bandari yenye uwezo mkubwa duniani na kama watawekeza kwetu natumaini mizigo itapita mingi hapa kwetu.
Sure itakuwa busy sana. Mi mshangao wangu ni huu wa kuhudumia meli 60 kwa siku. Hizi meli zitakuwa zinaingia kama ndege kwenye busiest aiport.... Meli 60?? Meli 60 zinapokuwa kwenye port moja lazuma kuna ports kadhaa zitakuwa hazina meli wallah.
Hii inaudhi sana, tuombe tu kuwe hakuna upendeleo katika hili, ili vijana wadogo wapelekweHizo nafasi za kwenda kujifunza watapeana wenywe ndugu, halafu wataenda watu wenye umri mkubwa wanaokaribia kustaafu badala ya kuwapeleka vijana wa 21yrs to 25 yrs kujifunza.
Safi sana tutajifunza mengi kutoka kwao, Singapore ni bandari yenye uwezo mkubwa duniani na kama watawekeza kwetu natumaini mizigo itapita mingi hapa kwetu.
Sure itakuwa busy sana. Mi mshangao wangu ni huu wa kuhudumia meli 60 kwa siku. Hizi meli zitakuwa zinaingia kama ndege kwenye busiest aiport.... Meli 60?? Meli 60 zinapokuwa kwenye port moja lazuma kuna ports kadhaa zitakuwa hazina meli wallah.
Ntafanya liwezalo, Mungu anijalie nikayashuhudie hayo maajabu.Kwanza nadhani hata zaidi. Wakati huo nimeenda mzee ni mid 1990s, lakini container handling ilikuwa computerised. Gantry Crane inakuwa controlled kama drome za Marekani sasa. Angalia yafuatayo.
1. Changi Airport (Singapore) ndio best and most efficient airport duniani, Standard n wastani usiozidi daki 2 lazima passenger amesha hudumiwa na hakuna makosa ya kijinga
2. Singapore Harbour the thrird busiest and first in cargo hadling
3. Ni nchi ya kwanza kuanza kutumia huduma bila paper money (virtual shopping). Ukiingia dukani, unashop na kuswap simu yako, pesa inatolewa kwenye account yako nakwenda kwenda kwenye ya huduma. Inaitwa "cultural melting pot, where Asia meets Europe and the old colonial meets the modern metropolis".
4. Imekuwa ya kwanza kuintroduce driverless/unmanned metro system (Mzee hata service ni marobot tu) hadi zinavyobadilishana shifts. Ukiangalia manthali utadhani umesha fika mbinguni tayari.
Na kumbuka hawa walikuwa masikini kama sisi (dunia ya tatu, sasa wanawazidi hata hao wajiitao dunia ya kwanza mbali) wamepata uhuru/kujitenga toka Malysia 1962 kama sisi.
Kwa hiyo tunahitaji uongozi thabiti na tuchape mzigo mzee tuone kamanasi tutasonga sio tunakalia wizi na kujiona wajanja!!!!
Kwanza nadhani hata zaidi. Wakati huo nimeenda mzee ni mid 1990s, lakini container handling ilikuwa computerised. Gantry Crane inakuwa controlled kama drome za Marekani sasa. Angalia yafuatayo.
1. Changi Airport (Singapore) ndio best and most efficient airport duniani, Standard n wastani usiozidi daki 2 lazima passenger amesha hudumiwa na hakuna makosa ya kijinga
2. Singapore Harbour the thrird busiest and first in cargo hadling
3. Ni nchi ya kwanza kuanza kutumia huduma bila paper money (virtual shopping). Ukiingia dukani, unashop na kuswap simu yako, pesa inatolewa kwenye account yako nakwenda kwenda kwenye ya huduma. Inaitwa "cultural melting pot, where Asia meets Europe and the old colonial meets the modern metropolis".
4. Imekuwa ya kwanza kuintroduce driverless/unmanned metro system (Mzee hata service ni marobot tu) hadi zinavyobadilishana shifts. Ukiangalia manthali utadhani umesha fika mbinguni tayari.
Na kumbuka hawa walikuwa masikini kama sisi (dunia ya tatu, sasa wanawazidi hata hao wajiitao dunia ya kwanza mbali) wamepata uhuru/kujitenga toka Malysia 1962 kama sisi.
Kwa hiyo tunahitaji uongozi thabiti na tuchape mzigo mzee tuone kamanasi tutasonga sio tunakalia wizi na kujiona wajanja!!!!
Hata mimi nimeshindwa kuelewa vizuri hoja yake.Hujui maana ya nchi ndogo Na kubwa , so kwa sababu ya ukubwa wa eneo , ni uwezo wa nchi
Kwani kwa hapa Dar uwezo wetu ni kuhudumia meli ngapi kwa siku?Sure itakuwa busy sana. Mi mshangao wangu ni huu wa kuhudumia meli 60 kwa siku. Hizi meli zitakuwa zinaingia kama ndege kwenye busiest aiport.... Meli 60?? Meli 60 zinapokuwa kwenye port moja lazuma kuna ports kadhaa zitakuwa hazina meli wallah.