Msambichaka Mkinga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 1,646
- 2,911
Wewe inawezekana una uelewa zaidi wa haya mambo LAKINI mimi ninachojua ni kuwa SINGAPORE ndiyo nchi inayoongoza kwa productivity Duniani. Mataifa makubwa kama Japan na Marekani huwapeleka watu wao kwenda kujifunza productivity Singapore.Kwa siku Meli 60???? Kwa siku Makontena 91,000??? Really??
Nadhani bandari zinazoheshimika kwa ufanisi kama Felixstowe, Barcelona na HIT zinapaswa kujifunza kutoka kwa hawa jamaa.
Bandari haiwezi hudumia meli 60 au kontena 91,000 kwa siku (nadhani ikimaanisha 91000TEUs) afu ikawa inachangia only 7% ya pato la taifa. Sijui lakini..... kuna maajabu mengi sana siku hizi duniani.
Well said!!!Wewe inawezekana una uelewa zaidi wa haya mambo LAKINI mimi ninachojua ni kuwa SINGAPORE ndiyo nchi inayoongoza kwa productivity Duniani. Mataifa makubwa kama Japan na Marekani huwapeleka watu wao kwenda kujifunza productivity Singapore.
Kama inawezekana Singapore ijenge chuo hapa nchini ili kuwafundisha Watanzania productivity maana mpaka sasa ipo chini sana. Tena kama Singapore itawekeza nchini, serikali kwa kuanzia iruhusu makampuni hayo ya Singapore yawalete wafanyakazi wengi toka Singapore ambao watapunguzwa taratibu, lengo ni kuwafanya watanzania wajifunze jinsi kazi zinavyoweza kufanyika kwa speed na accuracy. Watanzania accuracy yetu ni ndogo, speed ndogo, kuthamini muda ni zero, kulalamika na majungu 90%, matumizi -na kutanua 100%.
Note: Productivity = Tija= speed + accuracy
Mkuu Asprin, hii siyo Bandari moja bali ni Bandari zote zilizo Pwani mwa Singapore.Sure itakuwa busy sana. Mi mshangao wangu ni huu wa kuhudumia meli 60 kwa siku. Hizi meli zitakuwa zinaingia kama ndege kwenye busiest aiport.... Meli 60?? Meli 60 zinapokuwa kwenye port moja lazuma kuna ports kadhaa zitakuwa hazina meli wallah.
Okay, lemme me put it this... Port of Singapore ni collection ya bandari zote zilizopo Singapore pamoja na container terminals zilizopo... yaani ni tofauti na Bandari ya Dar es salaam kwamba ukipanda gari ukateremka Station kisha ukashuka Bondeni; tayari unakuwa umeshafika the only Port of Dar es salaam! Port of Singapore haipo hivyo.Sure itakuwa busy sana. Mi mshangao wangu ni huu wa kuhudumia meli 60 kwa siku. Hizi meli zitakuwa zinaingia kama ndege kwenye busiest aiport.... Meli 60?? Meli 60 zinapokuwa kwenye port moja lazuma kuna ports kadhaa zitakuwa hazina meli wallah.
Kwa siku Meli 60???? Kwa siku Makontena 91,000??? Really??
Nadhani bandari zinazoheshimika kwa ufanisi kama Felixstowe, Barcelona na HIT zinapaswa kujifunza kutoka kwa hawa jamaa.
Bandari haiwezi hudumia meli 60 au kontena 91,000 kwa siku (nadhani ikimaanisha 91000TEUs) afu ikawa inachangia only 7% ya pato la taifa. Sijui lakini..... kuna maajabu mengi sana siku hizi duniani.
Tumejiloga wenyewe.miaka 40 nyuma Singapore ilikua nchi masikini zaidi yetu lakin leo hii wanakuja kutupa msaada, sijui n nan katuloga
Hivi wewe zinakutosha? Unafikiri kama nchi imejaa watu wajinga kama wewe itasonga mbele. Nani kakwambia ukbwa kwa eneo ndiyo chachu ya maendeleo pekee?Kanchi kadogo kama Singapore kanatushinda na eti kunakuja kutupa msaada shame on our country
Ndio tatizo tulilonalo hilo, tunafikiria karibu mno, ukijenga Barabara moja ya Km 100 DRC, profit yake unaweza kujenga kumi za aina hiyo TanzaniaTanzania mmeshajenga barabara ngapi hadi kufikiri kwenda kujenga DRC? Kuna kampuni ngapi za Kitanzania ambazo zina uwezo wa kujenga barabara zaidi ya 100 km?
Poor thinking.Tanzania mmeshajenga barabara ngapi hadi kufikiri kwenda kujenga DRC? Kuna kampuni ngapi za Kitanzania ambazo zina uwezo wa kujenga barabara zaidi ya 100 km?
Mkuu, una maana gani unaposema kanchi kadogo? Una maana udogo wa eneo au kipato?
Ni kweli kabisa bandar za karbu zilizo chovu lazima ziwe feeder portSure itakuwa busy sana. Mi mshangao wangu ni huu wa kuhudumia meli 60 kwa siku. Hizi meli zitakuwa zinaingia kama ndege kwenye busiest aiport.... Meli 60?? Meli 60 zinapokuwa kwenye port moja lazuma kuna ports kadhaa zitakuwa hazina meli wallah.
Hivi tokea 1970 mpaka sasa ni serikali ya chama gani inatawala?Kama tunataka ufanisi na faida kwenye bandari zetu lazima tujifunze kutoka The Port of Singapore Authority.
Hawa jamaa wanawezesha asilimia zaidi 7 za pato la taifa kupatikana kwa njia ya maritime industry. Wanashughulika kwa ufanisi na meli zaidi ya 60 kwa siku, makontena zaidi ya 91,000 kwa siku.
Wenzetu wanatumia one-stop-centre katika documentation za makontena na hakuna rushwa, uzembe na urasimu.
Sisi bandari zetu zinanuka uzembe, rushwa na ufisadi kuanzia wafagiaji mpaka top level management.
Ikumbukwe, Singapore ilikuwa ni nchi masikini sawa na Tanzania kwenye miaka ya 1970 lakini kwa sasa ni moja kati ya nchi tajiri duniani.
Where there is will there is a way!
Mr Ng Pi Rui, a control centre deputy manager with PSA Singapore Terminals, said: "We handle an average of 91,000 containers every day - handling about 60 ships on average every day."Hapana kiongozi..... Acha nishangae tu. Napenda kujua hii nchi ina bandari ngapi? Naamini kwa mzigo huo lazima iwe inahudumia nchi zaidi ya 10.