Singapore in Pictures

asanteni kwa picha...mi nmezishusha ntaweka theme kweny PC yangu
 
Aiseee! Maendeleo ya wengine utafikiri ndoto.Ma-flyover ya kufa mtu! Navyoona, tatizo lao kubwa ni:Ninataka kwenda point B, nitumie flyover zipi kufika haraka?
 
Aiseee! Maendeleo ya wengine utafikiri ndoto.Ma-flyover ya kufa mtu! Navyoona, tatizo lao kubwa ni:Ninataka kwenda point B, nitumie flyover zipi kufika haraka?

Ukiwa mwenyeji wa huko utakuwa unajua bila shida...
Ni sawa na leo mtu ukisema unataka kwenda mbagala, kwahyo unajua njia ya kupitia..
 
Reactions: bdo
Zitapendeza sana

sanaa...mana nchi yangu ya ajabu kwel...wanaoish kweny mazngira mabovu ndio hawatak mabadiliko..mfano manzese..tandale.na uswaz kwingineko n CCM dam...acha nijiwekee theme Mungu anaweza kunifikiria cku moja
 
Singapore ni kuzuri sana. Ila kudogo.

Sheria kali: ukivuka barabara hovyo bila ya kusubiri taa, unalipa fine.
Chewing gum hairuhusiwi kuuzwa, inachafuwa mazingira.

Gharama za maisha ni karibu sawa na Japan.

Asilimia kubwa ni wenye asili ya Kichina, lakini pia wapo wa asili ya Kihindi (Tamil), Malaysia na Waarabu (Oman na Yemen).


Embe S$10. US$7.50


Msikiti wa Kihindi. Eneo la Little India


Msikiti wa Kiislaamu.




Eneo la Kiarabu



The Merlion (Sealion).

 
ndio maana kikwete kutwa kucha ughaibuni. kuzuri mno
 
naskia wakati tunapata Uhuru 1961 tulikuwa nao sawa hao jamaa sijui over take walitupita wapi
 
hivo ni visiwa kama zanzibar...bandari imewatowa sn....sehemu yoyoyte yenye visiwa ni rahisi kutumia bandari kupata maendeleo makubwa...zanzibar ingelikuwa km singapore kutokana na mazingira yake ya visiwa yalivyo mazuri lkn mpaka leo hamna kitu kutokana na kushikiiwa na ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…