cyrustheruler
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 2,044
- 1,872
Karibuni katika channel ya uimbaji muziki hapa tutashirikiana kupeana nyimbo nzuri kutoka kwa makundi,ideas mbinu za kukuza uimbaji na muziki wa kikristo/injili/choirs/groups n.k ni imani yetu kuwa forum hii itasaidia kukuza uimbaji SINGING YOUR HEART OUT!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app