BUCHANAGANDE
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 1,512
- 482
Kodi zipo na inabidi zitumiwe vyema na wanaotafuna nchi maana nchi imejaa MAJUHA YASIYOHOJI CHOCHOTE, TENA YANA UOGA WA KUFA MTU. HIYO NDIYO TANZANIA-KICHWA CHA MWENDAWAZIMU.
watu wengine wanadhani tuna-support chadema kishabiki,Ahsante kwa busara za hali ya juu sana. Lakini kama wasemavyo waswahili ''ukishangaa ya Musa....''. Basi kuna idiot mmoja alikuwa anakejeli eti kwanini viongozi wa Chadema hawakuiga watembelee pale kama Kikwete alivyofanya.
unajua watu wengine wanadhani chadema ni kipenzi cha wengi kwasababu ya ushabiki tu, hawajui watu wanaona kusheheni kwa talanta ya leadership ndani ya chama..Ahsante kwa busara za hali ya juu sana. Lakini kama wasemavyo waswahili ''ukishangaa ya Musa....''. Basi kuna idiot mmoja alikuwa anakejeli eti kwanini viongozi wa Chadema hawakuiga watembelee pale kama Kikwete alivyofanya.
sasa subiri uone vituko vya zabuni za ununuzi vifaa na ujenzi wa bandari ya bagamoyo!
and what if i am?wewe utakua chadema tu
Acheni uhuni nyie fanyeni kazi acheni kulalamika apa
dont tell me you believe that.!Hapa juzi kati tumeambiwa slaa amejichotea mamilioni ya ruzuku ya chama ndio mana chama saivi kinayumba kiuchumi
majungu???Vijana wa leo tumeacha kufikiria mambo ya maana tumejikita kwenye majungu
Ahsante kwa busara za hali ya juu sana. Lakini kama wasemavyo waswahili ''ukishangaa ya Musa....''. Basi kuna idiot mmoja alikuwa anakejeli eti kwanini viongozi wa Chadema hawakuiga watembelee pale kama Kikwete alivyofanya.
uchunguzi wa ndani sana uuliofanyika(na unaendelea kufanyika) unaonesha ujenzi huu wa bandari wizi wake na ufisadi wake, utakuwa zaidi ya ule wa richmond!Habibu ina maana ujenzi unaanza hivi karibuni ili hali tunasubiria mikataba iwekwe hapa wananchi waijadili Tanzania soon hakutakalika