Sinema tosha mauaji ya bilionea Msuya

Sinema tosha mauaji ya bilionea Msuya

Nishawahi kushudia polisi wakiwa msibani wakijifanya ni wapishi wanapika pilau kumbe wapo kazini[emoji23] [emoji23]
Sazingine wapelelezi hufanya kazi yao vzuri sana.
Kwa mfano katika kesi hii, kuna mshitakiwa alinaswa kwa mganga wa kienyeji akioga 'ndagu' za kuzuia kukamatwa.
Kumbe kati ya wale wateja wenziye aliokuwa nao pale walikuwa ni polisi wakimfuatilia.
Tatizo linakuja kwa waandaaji wa mashitaka. Wale wakihongwa hujifanya mambumbumbu na kuacha mianya kibao ya kisheria, inayompa taafifu mtuhumiwa kwenye hukumu.
Hata kesi hii, nina wasiwasi sana matokeo yavrufaa, kama washitakiwa watakata rufaa, tunaweza kusikia mengine.
 
Lakini hata upande wa mashtaka nao wana hela pia,mshtaki na mshtakiwa wote mabilionea
 
Write your reply...poleni wafiwa poleni wahukumiwa poleni watakaonyongwa
 
Watu kama wewe huwa siwaelewagiii.Simu walizotumia Ndo zimewaponza.Fatilia Uzi au mfate twenty 4seven anaujua mkasa wote.
Sasa u nataka MTU akiua aachiwe coz Marehemu hatarudi.
What a poor mind!!!!!

Kule kwa mganga walieleza kila kitu. Wale "wagonjwa" wengine lazima walipata ushahidi wa kukiri kwa walengwa wakuwa kwa mganga. Lazima walimweleza mganga awale kinga kwa kuwa walikuwa wameua. Sasa ukipata hiyo ya kukiri mwenyewe, "forensic evidence" (ushahidi wa kisayansi) wa nini tena? Mahakamani ukikiri hakuna kuleta mashahidi tena ni kupanga tarehe ya hukumu. Walichofanya waendesha mashtaka ni kuoanisha "maungamo" ya washtakiwa na maelezo ya mashahidi wengine.
 
vp kuhusu yule dada yake (Annete msuya) aliyechinjwa kigamboni kuna mwenye taarifa zake,vp tukio lake lina uhusiano na hili lala kaka yake .
 
Polisi wetu wamesoma sana wana uwezo mkubwa mno ila unapowakuta kwenye maagizo kutoka juu ndipo huwa wanakuwa lonyo sana ila uwezo wao ni mkubwa sana sana asikwambie mtu. Hakuna kitu kinafanywa hapa mjini wasijue mhusika!!!Yule kamanda wa polisi wa mwanza aliyeuawa kipindi kile unakumbuka ilichukua muda mfupi sana wote wakatiwa mbaroni!!!!Siwapendi tu ninapowakuta kwenye maagizo ya wanasiasa!!
 
ila nasikia (sina uhakika) huyo msuya (marehemu rip), nae tabia zake zilikuwa si nzuri, alikuwa mnyanyasaji, mzulumaji na mengine mengi tu aliyokuwa anawatendea watu
 
Salaam wakuu!

Naomba mwenye taarifa kuhusu kifo cha huyu Ndg. Anayeitwa Bilionea Msuya. Nmekuwa nasikia habari zake sana kwenye magazeti na kesi yake ni moja kati ya kesi zinazofuatiliwa sana.
1.Aliuwawaje?
2.Nini kipo nyuma ya kifo chake?
3.Mkewe na dada yake wanahusika vipi?
4.Kwa nini matajiri wengi wa Arusha wanauawa kikatili sana?

Karibuni
 
Inshort! Huyu bwana alikua tapeli na mpigaji wa madini yani anauza madini akikupatia basi jua usiku hufiki mbali eidha utavamiwa au utaporwa na pengine kuuwawa..Wenzake walimuonya akawa mbishi...Mkewe akachapiwa akapewa ngwe'ngwe! akajua mchezo hata siku anauwawa alionywa kuhusu utapeli na upigaji..inshort best friends wake waliamua kumkomesha kwa kukodi "special squad" kwa aajili hiyo tu..na wale mabwana walipomtwanga risasi pale Mirerani wakakimbili Same Milimani kula bata..walidakwa kama kuku!

Nina mengi, Tatizo muda!
PS: Nilikwenda kufanya "Tafiti" fulani kuhusu hii kesi..Aisee machalii ya chuga acha nayo!
 
Duh! Ko kumbe mkuu ni kama yale magenge ya drug dealers kule Mexico na south America?
 
Duh mkuu uko nchi hii kweli? Mbona kesi ishafungwa na mtu tano wamehukumiwa kunyongwa jombii
Najua mkuu, ila ukiangalia maswali yangu hapo juu kuna vitu sijui na ningependa kujua
 
Inshort! Huyu bwana alikua tapeli na mpigaji wa madini yani anauza madini akikupatia basi jua usiku hufiki mbali eidha utavamiwa au utaporwa na pengine kuuwawa..Wenzake walimuonya akawa mbishi...Mkewe akachapiwa akapewa ngwe'ngwe! akajua mchezo hata siku anauwawa alionywa kuhusu utapeli na upigaji..inshort best friends wake waliamua kumkomesha kwa kukodi "special squad" kwa aajili hiyo tu..na wale mabwana walipomtwanga risasi pale Mirerani wakakimbili Same Milimani kula bata..walidakwa kama kuku!

Nina mengi, Tatizo muda!
PS: Nilikwenda kufanya "Tafiti" fulani kuhusu hii kesi..Aisee machalii ya chuga acha nayo!
Big up mkuu
 
Aiseee mwaga nondo mkuu " kumbe jamaa nayeye alikuwa ni mafia ..Mimi nilidhani alionewa tu
 
Back
Top Bottom