..... Since then I'm careful about the parties I attend.

Karucee

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
18,179
Reaction score
34,435
Ee bwana siku moja bwana tukiwa chuo tukaalikwa kwenyeparty Zanzibar. Ilikuwa inaanza saa mbili usiku pale Africa House. Nikawaambiamaboys wangu bwana muda wote huo Jumamosi hii hatuwezi kukaa tu home, kama vipitwenzetuni Prison Island tukaparty kidogo tupige motinyo na snacks za moshikidogo halafu tugeuze jioni.Basi tukakodi zetu boat sisi haooooo. Piga majivibaya mnoooooo. Yale ndio maisha bwana. Carefree Life. Worries about tomorrowza nini bwana?? Mi nimekaa zangu chini ya daraja napiga snacks za moshikudaadeki halafu naskilizia zinavyofyatuka kichwani kudaadeki.
Haya bwanatimes zikaenda sisi tukageuza ili tukajiandae kwenda kwenye bash ya best wa maboys. At no time did we ask host zetu watakuwa kina nani. Zanzibar tena? Aslong as one of our boys anawafahamu basi hata hatukufikiria mara mbili. Ipulled on my tshirt and jeans tukapanda ride yetu tukasepa Africa House. Wow!The best cars in Zanzibar zilikuwepo pale. There was no parking space for atleast a mile away. Mh. Must be a big bash for some big shot tukawatunasema.
Haya bwana tumeingia, sisi tukaenda straight counter.Rude? Hell No. Boy wetu anaewafahamu wenye bash akaenda kupeleka giftakasema atarudi.Piga motinyo piga motinyo kwa sanaaaa. I am not much of adancer. I am better at downing my drinks. Hahaaa.
Sasa bwana lakini muda ulivyokuwa unaenda nikawanajiuliza. Mbona kama there is a sinister feeling in this room? Na kwa viledrinks zilikuwa zimetu relax tukaanza ku move around. Hors d'ouvre here andthere... a hello here, a hello there. Watu wakawa wanatutolea mijicho but walahatukujiuliza why. My boys made fun of me wanasema watakuwa wananishangaa theonly girl in the crowd. So we took seats ili bash iendelee.
Muziki ukafunguliwa. MC ni Abedi Sisimizi. Goodness. Wimboni Mtoto wa Ki Omani. Mwimbaji Sabri Bachchan. Mh! Ngastuka. Watu wakajimwagauwanjani. Kila nikijaribu kujiambia kuwa haiwezekani picha halisi inakuja. Achawanaume wamwage mauno. I swear I couldn’t believe my eyes. Wakawa wanachezamduara. They started humping each other.It hit me right then. We were at a GAYPARTY. Cha kufanya? Vamoos. Tunamtafuta mwenzetu bwana hatumuoni. Nikaingialadies kupumua kidogo. Ile natoka kuna msichana akanifungia mlango akaniambia Ilove your big eyes, Kiss me. Khaaaa? Manina. Nikamwambia sober up or you willget an ass whooping. Akakaa pembeni nikatoka.
Mara tukakutana na best tulokuwa tunamtafuta, tukaondokawithout a word. Nyuma bwana kuna watu walikuwa wanatufata. Ni wakaka but kwahesabu za fasta huwezi kujua kama ni wanaume. Ni wazuri mnooo. Mwendo je? Poziinazo? He? Akawa anamvuta boys wetu mmoja ambae ndie alituletea invitation yaparty akawa anamlilia. Nistirii mie Nistirii diiii. Khaaaaaa? He got punched.Vurugu zikaanza. Tukaruka ndani ya gari tukaanza kukimbizwa na gari.
Tulikuwa tumechokoza nyuki. Races zikaanza around StoneTown, tukakatiza Bandarini, Baharini… tukapita Michenzani. We got cornered. Simatusi hayo. Those dudes were screaming for our blood or is it asses?? Tukawahatuna jinsi. Tutulie tu ndani ya gari. I made some calls but only angels couldreach us before the police……. By the grace of God, we left untouched. Polisiwalituweka ndani until chaos zilipotukia kidogo. It goes without saying we leftZanzibar for sometime the very next day. Damned Island. A lovely weekend to you all and no gay parties for you please. tc
 
Ee bwana siku moja bwana tukiwa chuo tukaalikwa kwenyeparty Zanzibar. Ilikuwa inaanza saa mbili usiku pale Africa House. Nikawaambiamaboys wangu bwana muda wote huo Jumamosi hii hatuwezi kukaa tu home, kama vipitwenzetuni Prison Island tukaparty kidogo tupige motinyo na snacks za moshikidogo halafu tugeuze jioni.Basi tukakodi zetu boat sisi haooooo. Piga majivibaya mnoooooo. Yale ndio maisha bwana. Carefree Life. Worries about tomorrowza nini bwana?? Mi nimekaa zangu chini ya daraja napiga snacks za moshikudaadeki halafu naskilizia zinavyofyatuka kichwani kudaadeki.
Haya bwanatimes zikaenda sisi tukageuza ili tukajiandae kwenda kwenye bash ya best wa maboys. At no time did we ask host zetu watakuwa kina nani. Zanzibar tena? Aslong as one of our boys anawafahamu basi hata hatukufikiria mara mbili. Ipulled on my tshirt and jeans tukapanda ride yetu tukasepa Africa House. Wow!The best cars in Zanzibar zilikuwepo pale. There was no parking space for atleast a mile away. Mh. Must be a big bash for some big shot tukawatunasema.
Haya bwana tumeingia, sisi tukaenda straight counter.Rude? Hell No. Boy wetu anaewafahamu wenye bash akaenda kupeleka giftakasema atarudi.Piga motinyo piga motinyo kwa sanaaaa. I am not much of adancer. I am better at downing my drinks. Hahaaa.
Sasa bwana lakini muda ulivyokuwa unaenda nikawanajiuliza. Mbona kama there is a sinister feeling in this room? Na kwa viledrinks zilikuwa zimetu relax tukaanza ku move around. Hors d'ouvre here andthere... a hello here, a hello there. Watu wakawa wanatutolea mijicho but walahatukujiuliza why. My boys made fun of me wanasema watakuwa wananishangaa theonly girl in the crowd. So we took seats ili bash iendelee.
Muziki ukafunguliwa. MC ni Abedi Sisimizi. Goodness. Wimboni Mtoto wa Ki Omani. Mwimbaji Sabri Bachchan. Mh! Ngastuka. Watu wakajimwagauwanjani. Kila nikijaribu kujiambia kuwa haiwezekani picha halisi inakuja. Achawanaume wamwage mauno. I swear I couldn't believe my eyes. Wakawa wanachezamduara. They started humping each other.It hit me right then. We were at a GAYPARTY. Cha kufanya? Vamoos. Tunamtafuta mwenzetu bwana hatumuoni. Nikaingialadies kupumua kidogo. Ile natoka kuna msichana akanifungia mlango akaniambia Ilove your big eyes, Kiss me. Khaaaa? Manina. Nikamwambia sober up or you willget an ass whooping. Akakaa pembeni nikatoka.
Mara tukakutana na best tulokuwa tunamtafuta, tukaondokawithout a word. Nyuma bwana kuna watu walikuwa wanatufata. Ni wakaka but kwahesabu za fasta huwezi kujua kama ni wanaume. Ni wazuri mnooo. Mwendo je? Poziinazo? He? Akawa anamvuta boys wetu mmoja ambae ndie alituletea invitation yaparty akawa anamlilia. Nistirii mie Nistirii diiii. Khaaaaaa? He got punched.Vurugu zikaanza. Tukaruka ndani ya gari tukaanza kukimbizwa na gari.
Tulikuwa tumechokoza nyuki. Races zikaanza around StoneTown, tukakatiza Bandarini, Baharini… tukapita Michenzani. We got cornered. Simatusi hayo. Those dudes were screaming for our blood or is it asses?? Tukawahatuna jinsi. Tutulie tu ndani ya gari. I made some calls but only angels couldreach us before the police……. By the grace of God, we left untouched. Polisiwalituweka ndani until chaos zilipotukia kidogo. It goes without saying we leftZanzibar for sometime the very next day. Damned Island. A lovely weekend to you all and no gay parties for you please. tc
duh thats real noomaaa...
i real hate gayz...huwaga hayaoni aibu...f******k dem
 
That place was hell on earth. Damn.
i heard hata mombasa they do the same na wanasema kama we ni mwanaume usiingie kwenye mduara ukafikiri wa nyuma na wa mbele ni madem, ni wanaume ila tu wameevaaa bai bui na ukishaingia wanakubana usitoke...
chunga sana....
 
hahaaaaa be thankful the angels were too fast to pick up ur calls!!!!!!!!!!!!
 
Tryin to imagine kule Stone Town mliwezaje penya penya na gari...halafu wakati huo ndio mnafukuzwa...
 
This is the remix. This is the super blackmen remix. This is the super zanzibar party! Damned island, btw are you African?
 
So u've those good eyes eeh,
Zenji uliberali mwingi tatizo,
Pole best, mana wangewakamata wangewastiri hadi masikioni.
 
Sabri Bachan bado yupo hai?
Alikuwa "mzuri" sana enzi za ujana wake mid 90s...

Enzi hizo Komba Disco Bwawani, kulikuwa na vitoto vya kimanga vidogo vidogo (vya kiume) vinamwaga radhi hasa siku za jumanne ladies nite...pale Kwa Bwan Chuchu (RIP)...
 
I hate gays I wish sheria ya makosa na adhabu kifungu cha 154 na 155 hazitumiki mi ningekua na uwezo ningeongezea na kuwanyonga
 
Tryin to imagine kule Stone Town mliwezaje penya penya na gari...halafu wakati huo ndio mnafukuzwa...
Barabara ya Serena, Wings, Starehe Club na Tembo Hotel pale sio Stone Town kote kule? Forodhani, Njia ya Mercury, MAlindi na kwenye mataa ya Bwawani ukielekea Darajani kwenda Michenzani je?
 
So u've those good eyes eeh,
Zenji uliberali mwingi tatizo,
Pole best, mana wangewakamata wangewastiri hadi masikioni.

hahahahahaa...... hadi maskioni
 
Sabri Bachan bado yupo hai?
Alikuwa "mzuri" sana enzi za ujana wake mid 90s...

Enzi hizo Komba Disco Bwawani, kulikuwa na vitoto vya kimanga vidogo vidogo (vya kiume) vinamwaga radhi hasa siku za jumanne ladies nite...pale Kwa Bwan Chuchu (RIP)...
Sabri yupo bwana eeeh. Anaimbaga kwa Raju na Sometime pale CCM. The last time nlikuwa Unguja nlmuona Bwawani. Hivi aliolewa tena?
 
Hahaha...yaani jirani kweli 'fright hormones' hapo zilipiga hesabu ya faster...

Barabara ya Serena, Wings, Starehe Club na Tembo Hotel pale sio Stone Town kote kule? Forodhani, Njia ya Mercury, MAlindi na kwenye mataa ya Bwawani ukielekea Darajani kwenda Michenzani je?
 
Sabri yupo bwana eeeh. Anaimbaga kwa Raju na Sometime pale CCM. The last time nlikuwa Unguja nlmuona Bwawani. Hivi aliolewa tena?

....farouk nae? Nilikuwa nakutana nae sana mitaa ya shangani, hurumzi na jaws corner...

Stone town ina vijana mashombe shombe kuanzia mitaa ya Vuga pale mpaka huku hamamni..."raha za karaha" tu jioni ukiwaona Forodhani na sijui dada zao wale, au mashosti Zao!

Yarabi stara!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom