Sinagogi hili la Siloam Ministries

Mshana jr Hembu kama unaelewa utupe historia kidogo eti lile hekalu pale nyuma ya petrol station ya pale kinondoni Morocco huwa wanasali watu gani na siku gani na ibada zao zipoje unaruhusiwa kwenda mtu yeyote au kwa watu maalum na huwa linaitwaje
Na pale victoria sheli pia kuna kanisa, kama kuna aliyewahi sali pale atujuze pia
 
Mshana jr Hembu kama unaelewa utupe historia kidogo eti lile hekalu pale nyuma ya petrol station ya pale kinondoni Morocco huwa wanasali watu gani na siku gani na ibada zao zipoje unaruhusiwa kwenda mtu yeyote au kwa watu maalum na huwa linaitwaje
Ile ni sect ya freemason lilianza kujengwa miaka ya tisini mwishoni na kukamilika early 2000
 
Shika neno tenda neno mtumishi[emoji5], ukiwa wa imani tofauti hata salamu hupati na wanaoana wao kwa wao, ukimtaka mtumishi lazima ukasali kanisani kwake na uvae kanzu/gauni jeupe na ushinde kanisani siku nzima
Ukienda pale ukiwa uneoa hiyo ndoa ni halam kwahiyo inafutwa mnafunga nyingine
 
Kuna jamaa yangu kakimbilia huko alikuwa mlutheli,sasa ukimpigia simu ukitaja jina lake anakata simu then anakutumia sms anakwambia mimi naitwa nuru huyo unayemtaja ni mdudu gani simfahamu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…