Sinaga Swaga part 4 by Young Killer

Sinaga Swaga part 4 by Young Killer

Dogo kazingua kichiz saiv kweli ameishiwa swagga kama anavyosema hana swaga kweli ameyumba kimashair+kimziki atulie na aje na pini Kali anajua sana ila apa kayumba
 
"Nakupiga hatakama Mwalimu m'ku mamaako",,Young Killer Msodoki ni nouma
 
None sense! ..hivi Umri si unamruhusu kwenda shule huyu? Maana akingangania huo mziki naona atakua na miaka mingi ya kuwa na stressful life! ..
 
Dogo kazingua , sinaga swaga 3, ndo wimbo wa mwisho mzur toka Kwa youngkiller, huu wimbo hata mashairi hayasikiki vyema
 
Nyie mnaosema dogo kafanya vibaya hii ngoma sio vibaya mkiendelea kumsikiliza dogo janja na Yente yake, hip hop hamuijui dogo anabadilika kila ngoma kuanzia 13,mtafutaji,unaionaje nk.ninachompendea dogo ana mistari mikali ya kufikirisha aka tungo tata ambazo kama wewe ni la saba au form four failure huwezi kumwelewa.Jaribuni kumsikiliza mzee yusuph labda mtamuelewa maana anarudi kwenye game ndio size yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom