Sinaga Swaga inairudisha Hip Hop ya Bongo kwenye mstari wake – Young Killer

Kuhusu kufunikwa siwazi/
kuhusu Janjaro na Young Dee, mimi ndio mkubwa wao wa kazi/



Nasema mimi Young mwenye Killer zake/ Sio Young Thug wala Young mwenye alosto na dona zake/
Young genius Msodoki flani mwenye vyeo vyake/
A.K.A ndimu yaani uchachu wangu ndo utamu wake/ Mwakee/



Iko wazi, naua vichwa panzi/
Wakifa tunazika ila hatuziki mguu ukifa ganzi/
Na dawa ikiingia vizuri, basi naongeza dozi/ Sijali cha pozi zuri, wala cha chafu pozi/



Sasa niogope kipi mbele ya watumishi hewa/
Mi huwaga sitishiki hata kama nlichonyimwa we umepewa/
Sina mzuka, madem mastaa wanaong'arang'ara/
Sio G nako tu, hata mi pia nawarawara/



MI HUWAGA SINA SWAGGA KABISA

Namuelewa sana Msodoki. One of my favourite rappers from TZ.
 
Kama prof J Mwenyewe from HARDBLASTERZ anainba singeli eti inaitwa hiphop singeli
 
Idea ya kiUnderground sana, video mbaya.. mistari ya kawaida sana kama sio Msodoki vile...kifupi hajaitendea haki beat
 
yah ..heshima kwa kijana mtafutaji young killer..leo nilikuws mitaa ya kariakoo..maeneo mengi wanacheza ngoma yake..da.mi naona kajitahidi sana.asee
 
yah ..heshima kwa kijana mtafutaji young killer..leo nilikuws mitaa ya kariakoo..maeneo mengi wanacheza ngoma yake..da.mi naona kajitahidi sana.asee
sio kajitahidi ila kafanya kweli, nano ambae hajui kuwa janjaro kaacha hiphop kahamia nyimbo za chumbani na kulialia kwingi, nan hajui kuwa yong daresalama kakimbia kapitiliza kwao, nani hajui kuwa joh ni hatari kwa mistari na kubebwa kwingi na mapresenter wachaga, ila onyo kwa msodoki mziki wa dizaini hii bongo atapotea soon, dazen hawez usapoti hata kidogo myb mabange mchomvu coz anapenda hphop, aangalie wenzie wazee wa dis kama Nash mc wako WAP now
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom