Sinaaa maana hiyo......

dah !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
hiki kizazi sijui vipi yani?
sisi tuliozaliwa miaka ya themannin na miaka ya tisini sijuu watoto wetu watakuta nini?

angalia apo yani ni full anasa,**** bovu na mchupa wa bia mkononi blazamen nae kajikunja tuu kwamba ana demu wa maana au ndo wale tunaojipoozea pale corner bar.

huyo mdada kesho ukimkuta kwenye gazeti la udaku na hizo picha et wazazi wake nao wataenda mahakamani kwamba umemdhalilisha binti yao.
 
full bata sio? wapo tanganyika hii hii?
 
life ni short kamaa kinguo alicho vyaaa,wenyewe wanakwambiaa baby umetokaa skopaaaa
 
safi sana.sio mtu unaingia disco na baibui.lakini naona **** limekomaa.haya mambo ya kawaida sana...wanaoshangaa sijui wanaishi wapi.mababu zetu zamani walikuwa wanaziba mbele na nyuma tu kwa kitambaa kama makhirikhiri.
 
Sijaona tatizo hapa, ni kila jambo na mahali pake.
<br />
<br />
 
Duh kama pale Samunge Club a.k.a Babylon Club Arusha, full bata warembo
 
kijanaaa kweliii we mkareee...semaa babylone kunaa machangu wakaliii ila nikamaa mrinaaa au shivazz tu.
Duh kama pale Samunge Club a.k.a Babylon Club Arusha, full bata warembo
 
Huu ufulska umepitiliza kipimo!
<br />
<br />
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…