Diranqw
Senior Member
- Mar 13, 2016
- 160
- 72
Kauli ya kiongozi mzuri-lazima atembee juu ya kauli zake,ama kweli DR.JPM ametukosha watanzania.Hakuna cha -''IKIDHIBITIKA ATACHUKULIWA HATUA''hii hakuna ni hapohapo unakula zao.
Hii ni fundisho kwa anayoyatamka Mh.RAIS kuwa ukipewa kazi ya nchi fanya sawasawa na inavyopasa,usije ukazungukwa na familia yako,ndugu zako,rafiki zako na kushindwa kutimiza ndoto za watanzania.
Mh.Rais wetu ni tofauti kabisa na hisia za baadhi ya watu wanavyofiki kuwa CCM ni ilele na mimi nasema hii ndiyo ccm-original,siyo CCM-iliyochakachuliwa na baadhi ya waroho wa madaraka wengine wako bado ccm na wengine wamekimbia mapema.
Mh.Rais DR.JPM
SHUGHULI NDIYO INAANZA WALIOZUBAA WAJIANDAEE,WENYE MAZOEA WAJIANDAEEEE.