Sina upendo kama zamani

Sina upendo kama zamani

In the night, I hear them talk the coldest story ever told
Somewhere far along this road, he lost his soul
To a woman so heartless
How could you be so heartless
Oh, how could you be so heartless?
 
Unajiadhibu kwa sababu ya mtu mwingine na ujinga wake.

Je ni sawa uishi maisha yakutangatanga kisa alikusaliti?? Kumbuka sasa unachezea maisha yako sio yake.
Hebu tulia jiheshimu ishi maisha yakupendeza kwa Mungu na jamii uje kuwa baba bora.
Kuna wanawake zaidi ya milioni 20 kwa Tanzania tu. Hao wawili au mmoja wasikuharibie tabia na mfumo wako wa maisha.
 
Usaliti unaacha alama kubwa sana moyoni nakuharibu akili,sikushangai yaani inaweza kukuchukua muda sana kugain hiyo kitu,huu niugonjwa Wa wengi
 
Nmekuelewa kiongozi tatizo linalofanya nizid kupata hasira juu yake bado ananitafuta kila siku kuniomba nimsamehe turudiane nimebadirisha namba zaid ya Mara nne lakini bado anaipata
usimkimbie huyo eti sbabu alikusaliti,nani alikwambia mwanamke ni wako peke yako?wanawake wooote wanachapwa ila kwa siri.
 
Inaonekana bdo unamhusudu Hugo Dada/mama kitu cha msingi usijenge nae umbali endelea kumla taratibu life linasonga
 
Unajiadhibu kwa sababu ya mtu mwingine na ujinga wake.

Je ni sawa uishi maisha yakutangatanga kisa alikusaliti?? Kumbuka sasa unachezea maisha yako sio yake.
Hebu tulia jiheshimu ishi maisha yakupendeza kwa Mungu na jamii uje kuwa baba bora.
Kuna wanawake zaidi ya milioni 20 kwa Tanzania tu. Hao wawili au mmoja wasikuharibie tabia na mfumo wako wa maisha.
Sawa mkuu asante kwa ushauri
 
usimkimbie huyo eti sbabu alikusaliti,nani alikwambia mwanamke ni wako peke yako?wanawake wooote wanachapwa ila kwa siri.
Hata kama lakini kwa hili haiwezekani mkuu
 
Ndo ukubwa huo, yakikukuta kama zaidi ya Mara 100 utakuwa una ona kawaida tu..legoo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom