Sina ujanja wa kuwakataa wasichana

we subiri....wakati naongea na wateja unatulia....si unajua waungwana hawataki kiwingu......naomba nimshughulikie mteja tafadhali

preta dia mteja gani tena? Bado naikumbuka ile chifwakaa mbanu maana nilicheka mbele ya bosi mwe. We ni sababu ya mimi kuja arusha lol
 
preta dia mteja gani tena? Bado naikumbuka ile chifwakaa mbanu maana nilicheka mbele ya bosi mwe. We ni sababu ya mimi kuja arusha lol

hakyanani vile nakuhakikishia ujio wako itabidi huyu mteja kimuhemuhe asubiri......naomba usiache kuja my dear nafasi yako nitaipanga mbele ili upate view nzuri
 


Huna uwezo wa kuwakataa eee...! okay, wee subiri tu hadi hapo utakapoupata UKIMWI ndio akili ya kutulia itakujia.
 
Kwa nini uwakatalie bana?! Watoto wakililia wembe we wape. Endeleza undava tu mwanangu mpaka watakapoanza kukukataa wao (wakati huo umebakiza 2kgs!)
 

Utatulia tu ngoja HIV akukute, utakuja hapa JF ukitafuta dawa jibu hakuna dawa utakuwa mdogooooooooo hivi, endelea kuchimba utachimbwa na ww
 

Attachments

  • hiv-symptoms-1.jpg
    25.6 KB · Views: 44
Leo umesema hivi.........



Baada ya muda si mrefu (kama ukiendelea kugonga kila anayekutaka), utasema hivi.......



"Mabinti wote sasa wananikimbia, mimi nalia ule u-handsome kama wadada walivyokuwa wakisema upotea.
Nina urefu wa futi 3 sasa kutoka 6.3, kifua kilochoporomoka huku nikibaki na kg 2 za uzito. Vile vijibiashara ambavyo vilinifanya nisikose hela ya vocha sasa kwishney manake hela zote zinaishia kwenye ARVs.
Tatizo langu ni kwamba nina ngoma"
.


Halafu utakuja tena hapa jamvini utatuuliza tena.....


"Hivi wana JF dawa ya ngoma imepatikana"
?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…