Sina uhakika

Keben

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
725
Reaction score
178
Nilifanya mapenzi na mwanamke,ila kwenye process sijui kilichotoka ni sperm kidogo au semen. Wakati huo nikiwa chini mwanamke juu lakn baadaye sana nika P. Je hata kama zilitoka kidogo ni kwa kiwango gani naweza kusababisha mimba nikiwa chini(japo sina uhakika ni soerm au semen).
 
Unaujua ukubwa wa sperm moja inayotungisha mimba?
 
Dogo umeshalikoroga tayari. Hizo sperm, sijui semen/soerm huwa haziangalii mkao uliokaa. Zikitoka tu zinakimbia 🏃🏃🏃kama mwizi anayekimbizwa mtaani, ili auwawe.

Kama umefanya hicho kitendo na mwanafunzi, basi ni bora ukakimbia mapema kabla hujahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela.
 
Unasema ww ndo uliokua chini ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo hamkubadilisha mkao wewe ukaja juu mwanamke chini? Anyways, hongera baba kijacho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…