Dr criminal
JF-Expert Member
- May 16, 2022
- 2,284
- 4,330
Au sio baba kijacho
Bado maziwa Formula One kopo linafika 35K na mtoto anafyeka 4 kwa wiki 2😁Bei ya pampas moja 500 bunda dogo lile 4000 Tsh bunda kubwa lile nahs now linafika 15000Tsh sjui kitu kama hicho
😁😁😁mmefanya hapa jukwaani kama kizimbani sasa
😂😂😂😂