Sina uhakika, does it realy work.....!!!!!!!!!!???????????

my mail box imejaa emails za hao wapuuzi... Yaan n mizinguo tuu
 
njia rahisi ya kujua website fake andika jina la website likifatiwa na neno scam google.

Mfano incomepart.com scam then utaona website mbali mbali zinaeleza kama ni scam au la na why ni scam
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom