Sina shida ya hela mimii

nyie kuweni makini msikute mambo mengine hayo unakula hela usiyoitaabikia jamani?
 
uisiogope kwani tigopesa siku hizi wanadai kuwa ukiweka pesa kwenye tigopesa na ukiwa mara kwa mara unaweka na kuondoa wao wanakupa bonus ya kiasi fulani kwenye akiba yako kwenye tigopesa ila ni vizuri kwenda makao mkuu ya tigo kuwauliza kwamba wanazo hizo bonus?
yaani ndio naogopaje hapaa....
 

hiyo line sio yangu na sijasajili kwa jina langu...nliomba tu nkaimilikisha moja kwa moja na sijawahi weka hela humo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…