hehehe basi vizuri mana nataka anzisha biashara ya kuuza mihogo ya kukaanga ila sina kibanda atiii
hapana lilikujamo tu...
nadithiemo hiyo historia yakheeeeee
dela ndio mwake ati
duh we mkareeeeeeeeee............I think u were a very truant student by that time..
ever in my life..but kwenye kukaanga mihogo I have to...
hayanipendeziiiii mi kimbaumbauuuuu
Hapana huwa wanayamodoaa..
ntakwambia kesho saiv watasikia banah
Dah! kumbe mimi mwenyewe sina katoto tunaweza kuyajenga pamoja?naogopa mimi jamani bado napemda kuishi na sina hata katoto....
Aaaah! jamani kumbe una sauti nzuri hivyo mpaka moyo umeshituka, maana yangu tunaweza kuyaweka sawa ili tupate katoto?jaman mafundi si ndio huwa wanajenga???? au wew ni fundi basi jenga maliza kabisa then unambie sh ngapi ..sawa?????!!!!
ndo nahangaika tafuta usingizi eti..