Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,639
ukweli utabaki kw ukweliPole sana, jipange upya.
nape nauye ni chadema?siku zote anayeshindwa hakosi sababu. Lakini Chadema wataona aibu sana sababu walishajitangazia ushindi kabla tume kutangaza matokeo. Hongera Dr Kafumu
nakuunga mkono, hawa jama ni wezi vby sana.Binafsi sioni sbb yyt ya kuipongeza ccm kwa ushindi hk Igunga. 1.igunda ni ngome ya ccm tk nchi ipate uhuru lkn Wamepishana kura chache sn na chadema ambao wameanza na 0. 2. Ccm imetumia udini kama ngao ya kuwadanganya wanaigunga kuwapigia kura eg. Dc na kilemba+ bakwata na matamko na kampeni za wazi miskitini 3. Wameonyesha vitisho kwa wanaigunga mf. Rage na bastola kiunoni 4. wamekua wakifanya matukio ya ukatili na kuwasingizia chadema mf. Tindikali, kuchona nyumba, dc nk. HVY HAKUNA SBB YA KUWAPONGEZA CCM
Binafsi sioni sbb yyt ya kuipongeza ccm kwa ushindi hk Igunga. 1.igunda ni ngome ya ccm tk nchi ipate uhuru lkn Wamepishana kura chache sn na chadema ambao wameanza na 0. 2. Ccm imetumia udini kama ngao ya kuwadanganya wanaigunga kuwapigia kura eg. Dc na kilemba+ bakwata na matamko na kampeni za wazi miskitini 3. Wameonyesha vitisho kwa wanaigunga mf. Rage na bastola kiunoni 4. wamekua wakifanya matukio ya ukatili na kuwasingizia chadema mf. Tindikali, kuchona nyumba, dc nk. HVY HAKUNA SBB YA KUWAPONGEZA CCM

Pamoja na matumizi makubwa ya fedha za umma, hila chafu za udini na propaganda za lukuki za kitapeli, bado ushindi umekuwa wa kusuasua! CCM msibweteke hata kidogo! Kumbukeni Igunga ilikuwa ngome yenu na Chadema imeingiapo juzi tu! Sasa hebu mtafakari: Tofauti hiyo ya matokeo ni dalili ya wazi kwamba hali yenu sio nzuri hata kidogo!Hongera makamanda wa chadema
siku zote anayeshindwa hakosi sababu.
Lakini Chadema wataona aibu sana sababu walishajitangazia ushindi kabla tume kutangaza matokeo.
Hongera Dr Kafumu
Pole sana, jipange upya.