Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,639
Binafsi sioni sbb yyt ya kuipongeza ccm kwa ushindi hk Igunga. 1.igunda ni ngome ya ccm tk nchi ipate uhuru lkn Wamepishana kura chache sn na chadema ambao wameanza na 0. 2. Ccm imetumia udini kama ngao ya kuwadanganya wanaigunga kuwapigia kura eg. Dc na kilemba+ bakwata na matamko na kampeni za wazi miskitini 3. Wameonyesha vitisho kwa wanaigunga mf. Rage na bastola kiunoni 4. wamekua wakifanya matukio ya ukatili na kuwasingizia chadema mf. Tindikali, kuchona nyumba, dc nk. HVY HAKUNA SBB YA KUWAPONGEZA CCM