Sina sababu yoyote ya kuipongeza CCM

Angel Msoffe

JF-Expert Member
Jun 21, 2011
6,781
1,639
Binafsi sioni sbb yyt ya kuipongeza ccm kwa ushindi hk Igunga. 1.igunda ni ngome ya ccm tk nchi ipate uhuru lkn Wamepishana kura chache sn na chadema ambao wameanza na 0. 2. Ccm imetumia udini kama ngao ya kuwadanganya wanaigunga kuwapigia kura eg. Dc na kilemba+ bakwata na matamko na kampeni za wazi miskitini 3. Wameonyesha vitisho kwa wanaigunga mf. Rage na bastola kiunoni 4. wamekua wakifanya matukio ya ukatili na kuwasingizia chadema mf. Tindikali, kuchona nyumba, dc nk. HVY HAKUNA SBB YA KUWAPONGEZA CCM
 
Kwanini wacheleweshe matokeo? Halaf watangaze ccm imeshinda? Huu ni wizi na MUNGU atawalaani
 
siku zote anayeshindwa hakosi sababu.

Lakini Chadema wataona aibu sana sababu walishajitangazia ushindi kabla tume kutangaza matokeo.

Hongera Dr Kafumu
 
Binafsi sioni sbb yyt ya kuipongeza ccm kwa ushindi hk Igunga. 1.igunda ni ngome ya ccm tk nchi ipate uhuru lkn Wamepishana kura chache sn na chadema ambao wameanza na 0. 2. Ccm imetumia udini kama ngao ya kuwadanganya wanaigunga kuwapigia kura eg. Dc na kilemba+ bakwata na matamko na kampeni za wazi miskitini 3. Wameonyesha vitisho kwa wanaigunga mf. Rage na bastola kiunoni 4. wamekua wakifanya matukio ya ukatili na kuwasingizia chadema mf. Tindikali, kuchona nyumba, dc nk. HVY HAKUNA SBB YA KUWAPONGEZA CCM
nakuunga mkono, hawa jama ni wezi vby sana.
 
Well said .....
 
Ninafikiri CCM sasa waache kuomba kura kistaarabu, kwani ubabe/mkwara wa cdm umegeuka nguvu ya umma kiasi cha kuwafanya ccm wengi wao kuogopa kwenda kupiga kura.
 
Hongera makamanda wa chadema
Pamoja na matumizi makubwa ya fedha za umma, hila chafu za udini na propaganda za lukuki za kitapeli, bado ushindi umekuwa wa kusuasua! CCM msibweteke hata kidogo! Kumbukeni Igunga ilikuwa ngome yenu na Chadema imeingiapo juzi tu! Sasa hebu mtafakari: Tofauti hiyo ya matokeo ni dalili ya wazi kwamba hali yenu sio nzuri hata kidogo!
 
Ukweli utabakia palepale kwamba: "asiyekubali kushindwa si mshindani" ingekuwaje kama CDM ingeshinda then CCM wakawa wagumu kuelewa? Think twice bwana.
 
siku zote anayeshindwa hakosi sababu.

Lakini Chadema wataona aibu sana sababu walishajitangazia ushindi kabla tume kutangaza matokeo.

Hongera Dr Kafumu

Huna aibu wewe Osama bin laden akili zako ni marehemu unafikiria kwa kutumia makalio
 
Binafsi sioni sbb yyt ya kuipongeza ccm kwa ushindi hk Igunga. 1.igunda ni ngome ya ccm tk nchi ipate uhuru lkn Wamepishana kura chache sn na chadema ambao wameanza na 0. 2. Ccm imetumia udini kama ngao ya kuwadanganya wanaigunga kuwapigia kura eg. Dc na kilemba+ bakwata na matamko na kampeni za wazi miskitini 3. Wameonyesha vitisho kwa wanaigunga mf. Rage na bastola kiunoni 4. wamekua wakifanya matukio ya ukatili na kuwasingizia chadema mf. Tindikali, kuchona nyumba, dc nk. HVY HAKUNA SBB YA KUWAPONGEZA CCM

Na wala hakuna aliyetarajia kupokea pongezi zako za kinafiki.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom