Sina neno

Sina neno

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
22,192
Reaction score
29,749
Ni hizo tu

20220101_174154.jpg
 
Toka mwaka uanze soda zimeadimika...

Sijui ndiyo wanachambua ni chupa zipi zilizotumika...
 
Sukari ya viwandani ilikuwa haupatikani kabisa hivyo iliathiri sana uzalishaji wa soda na juisi.

Yani soda ilikuwa hadimu Christmas yote mpaka mwaka mpya
 
Yaani hizo soda za chupa sinywi tena

Ndio soda pekee OG. Genuine, hizi za plastic tunakunywa feki sana.

Ila kuna siku nimepiga maakuli fresh, kufika mwisho naona kitu cheupe kwenye chupa ya Pepsi, nikajua barafu. Ile namalizia kumbe ni bazoka ( Big G) iliyokua kwenye soda na imetafunwa.
Ilinichefua sana.
 
Duuh machupa hayaòshwi vizuri haya, pole kama nakuona ulivyotamani kuitapika hiyo soda, wawe makini na afya za watu
 
Nilishapoa ila nafsi ilitumbukia nyongo hatari.

Sijui kwanini naona kama watu wanatengeneza sana soda feki hasa hizi za chupa za plastic.
 
Ndio soda pekee OG. Genuine, hizi za plastic tunakunywa feki sana.

Ila kuna siku nimepiga maakuli fresh, kufika mwisho naona kitu cheupe kwenye chupa ya Pepsi, nikajua barafu. Ile namalizia kumbe ni bazoka ( Big G) iliyokua kwenye soda na imetafunwa.
Ilinichefua sana.
Khaa jamani

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Bora hizo mirinda angalau, hizo pepsi hapana aisee dah!!!
 
Back
Top Bottom