Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,719
- 13,423
Wataalamu wengi wa afya wanadai kwamba ni salama kabisa..Duuh mkuu wewe utapata magonjwa ya ajabu , why usisubiri tu huyo kuku aishe?
Duuh mkuu wewe utapata magonjwa ya ajabu , why usisubiri tu huyo kuku aishe?
Na kwa kuongezea, i have been doing this for the past 20 years, labda hayo magonjwa ya ajabu yanikute uzeeni.Wataalamu wengi wa afya wanadai kwamba ni salama kabisa..
Tena wanarecommend, kwa sababu muda huo mnakuwa mmerelax, hamuwazi tena mimba zisizokusudiwa.
Kama nitaendelea kuwa na free time hivi, nitaanza kukufollow, una tukomenti tutamu sana twa kijanja...Kuna wapuuzi wachache wamesababisha watu tuache kutumia, unatumiaje chupa kama dudu bana😂🤔
Yeah, naweza.Duuuh, unaweza ukanywa uchafu?
Duh haya mkuu 🙌 sina la kuongezea hapoNa kwa kuongezea, i have been doing this for the past 20 years, labda hayo magonjwa ya ajabu yanikute uzeeni.
😂😂 umenichekesha mkuu, kumbe comments hizi hizi za kishamba wewe unaziona za kijanja😂 ahsante lakini.Kama nitaendelea kuwa na free time hivi, nitaanza kukufollow, una tukomenti tutamu sana twa kijanja...
Sasa mtu akiangalia na ka avatar kako kalivyo kazuri, basi anakuwa ana assume kwamba huyo hapo kwenye avatar ndio anakomenti, hii inakuwa na magnetic effect, tuliosomea mambo ya Oscillation tunasema, It has magnetic explosion, due to polarization horrizontal!
We acha tu, kuna watu mko vizuri..😂😂 umenichekesha mkuu, kumbe comments hizi hizi za kishamba wewe unaziona za kijanja😂 ahsante lakini.
Juzi kati nlikua nyumbani nkaagiza fanta pineapple ile nimefungua madogo wakawa wanalilia nkachukua vikombe nigawe ile naangalia ilobaki kwenye chupa nakuta ndani kizibo kilichong'atwa.Duuh machupa hayaòshwi vizuri haya, pole kama nakuona ulivyotamani kuitapika hiyo soda, wawe makini na afya za watu
Aisee hawa watu hawapo makini kabisa, kuna mkuu alisema alikuta bigijii ndani. Afya za watu ni muhimu wazingatie hiloJuzi kati nlikua nyumbani nkaagiza fanta pineapple ile nimefungua madogo wakawa wanalilia nkachukua vikombe nigawe ile naangalia ilobaki kwenye chupa nakuta ndani kizibo kilichong'atwa.
Labda wamekosa wakuwapatia huduma stahiki😂😂Kuna wapuuzi wachache wamesababisha watu tuache kutumia, unatumiaje chupa kama dudu bana😂🤔
Hutakunywa pepsi tena mkuu....Mkuu hebu fanya uungwana kidogo japo ka-video kiongozi...!
Ninadhani uzalishaji wa soda za chupa utaongezeka kwani chupa za plastic zinapigwa vita kwa global warming.Yaani hizo soda za chupa sinywi tena
Hutakunywa pepsi tena mkuu....