SINA NENO..! hmmm

kunyanyasana huku sasa....mambo gani ya kutufanya tuchelewe kupanda gari bure nasubiri mtungi ushuke niende kusafisha chooni
 
Nawashangeini ,hamuoni haya kumpapatikia mke wa mtu,huyu ndo the Secreatary for your very sad information.
 
Last edited by a moderator:
mmh, assume anageuka halafu unakuta ana sura kama ya avatar ya mleta post sijui bado atatamaniwa kwa umbo lake??
 
Back
Top Bottom