Sina namna nakuja Dar

Karibu mjini mdogo angu huku kila kitu ni biashara na ukiwa unajua kuongea basi hiyo ni added advantage.
 
Ndugu zako wa Mkoani!Njoo huku mjini upambane,akili inakuwa active muda wote.
Penye mapungufu lazima wasemwe na mengi yasemwayo yana ukweli ndani yake, wewe ni wa dar?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…