Sina namna nakuja Dar

Sina namna nakuja Dar

Double N

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2018
Posts
311
Reaction score
606
Naamini wengi wenu ni wazima, wenye changamoto kama mimi poleni, tuombeane kheri.

Wakuu nina mpango wa kuja mjini Dar kutafuta pesa.
Mimi nipo mkoa X kwa sasa ila hali yangu kiuchumi ni tia maji tia maji. Kwa umri huu wa ukijana wa makamo kuendelea kua tegemezi na kunufaisha wengine sasa baasi.

Kwenu nyie mliopo Dar, nakuja Dar.
 
74e7e3560bbd47e59233a3cb4c11b2a0.jpg

Kama vipi nenda Mbeya mkuu huku Dar kwa moto sana.
 
Hela huna masikini tu wa kutupwa bado una hii mindset Doooh!
Kazi isiyo ya kumnufaisha mtu ni yako tu jiajiri fala ww
Sijaelewa kwanini umenishambulia na mwisho umerudi kwenye reli.
Ndio maana nakata kujiajiri mkuu.

Hata hivyo nakuja Dar.
 
Naamini wengi wenu ni wazima, wenye changamoto kama mimi poleni, tuombeane kheri.

Wakuu nina mpango wa kuja mjini Dar kutafuta pesa.
Mimi nipo mkoa X kwa sasa ila hali yangu kiuchumi ni tia maji tia maji. Kwa umri huu wa ukijana wa makamo kuendelea kua tegemezi na kunufaisha wengine sasa baasi.

Kwenu nyie mliopo Dar, nakuja Dar.
Una mwenyeji?
 
Kama unakja bila chanel nenda mahakama ya ndizi utakuja kunishukuru.
 
Naamini wengi wenu ni wazima, wenye changamoto kama mimi poleni, tuombeane kheri.

Wakuu nina mpango wa kuja mjini Dar kutafuta pesa.
Mimi nipo mkoa X kwa sasa ila hali yangu kiuchumi ni tia maji tia maji. Kwa umri huu wa ukijana wa makamo kuendelea kua tegemezi na kunufaisha wengine sasa baasi.

Kwenu nyie mliopo Dar, nakuja Dar.
Maisha popote ilimradi ujue kilichokupeleka.
Mungu akufungulie njia.
 
Daresalama nenda ila kunufaisha watu na kuwalamba miguu kuko palepale tena huko ndio zaidi.
Wanufaishe na wewe unufaike ila sio uwanufaishe wewe usinufaike.
Nadhani hapo hukunielewa.

Anyway, nakuja Dar.
 
Naamini wengi wenu ni wazima, wenye changamoto kama mimi poleni, tuombeane kheri.

Wakuu nina mpango wa kuja mjini Dar kutafuta pesa.
Mimi nipo mkoa X kwa sasa ila hali yangu kiuchumi ni tia maji tia maji. Kwa umri huu wa ukijana wa makamo kuendelea kua tegemezi na kunufaisha wengine sasa baasi.

Kwenu nyie mliopo Dar, nakuja Dar.
Karibu kama una mbio Dar kutakufaa huku tunawakimbia wenye nyumba, mantilie akikuona anafurahi, konda atakuuliza kama unaenda maana atakujua kwa kutoku badili nguo, mchina atakuchukia kwakuwa atatakiwa kukulipa 7,000 jioni baada ya kufanya kazi Masaa 12...

Karibu tujaribu kukutanisha ncha za mahitaji, mkono ufike kinywani.
 
Back
Top Bottom